Barya
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 950
- 1,190
Bila kujali chama, au itikadi za ukanda,ukabila kama ilivyo kawaida ya watanzania, napendekeza lingekuwepo jopo la wastaafu wa kushauri mambo yafuatayo
Hata upande wa upinzani kuna wazee makini wenye busara zao ambao wanaweza kutoa mchango wa mawazo.
NAPENDEKEZA ORODHA HII INGEUNDA KAMATI YA WAZEE WA TAIFA WA USHAURI
Hiyo timu ingekuwa inakutana kila baada ya muda kujadili masuala muhim, pia kikao kiwe kinaudhuliwa na rais, waziri mkuu na makamu wa rais,
Kuna watu ambao labda hawastahili kuwa kwenye orodha hii kulingana na mtazamo wako.Pia unahisi ni yupi tumemsahau anastahili kuwepo katika orodha hiyo tuambie na aliyoyafanyia nchi na sifa zake.
- Mwenendo wa siasa nchini..
- Nidhamu na mienendo ya vyama vya siasa..
- Marekebisho mbalimbali kuanzia katiba na kumshauri kiongozi yeyote yule ndan ya nchi kuanzia ngazi ya uwaziri mpaka urais.
- Kutatua migogoro ya kisiasa nchini kama ule wa Zanzibar na mengineyo.
Hata upande wa upinzani kuna wazee makini wenye busara zao ambao wanaweza kutoa mchango wa mawazo.
NAPENDEKEZA ORODHA HII INGEUNDA KAMATI YA WAZEE WA TAIFA WA USHAURI
- Ali Hassan Mwinyi - Rais msataafu
- Benjamin Mkapa - Rais mstaafu
- Jakaya Kikwete - Rais mstaafu
- Abeid Karume - Rais mstaafu Zanzibar
- Jaji Sinde Warioba - Waziri Mkuu mstaafu
- Salim Ahmed Salim - Waziri Mkuu mstaafu
- John Malechela - Waziri Mkuu mstaafu
- Frederick Sumaye - Waziri Mkuu mstaafu
- Mzee Mtei - Gavana Mkuu wa benki mstaafu
- Peter Pinda - Waziri Mkuu mstaafu
- Mama Maria Nyerere - Mke wa Baba wa Taifa ( sababu maalum)
- Mzee Mboma - Mkuu wa Majeshi mstaafu
- Jaji Boman - Mwanasheria mzoefu
- Jaji Lubuva - Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
- Alfred Tibaigana - Kamishna wa Polisi mstaafu
- Samweli Sitta - spika wa Bunge mstaafu
- Professa Mwesiga Baregu
- Anna Makinda - Spika wa Bunge mstaafu
- Pius msekwa - Spika wa Bunge mstaafu
- Getrudi Mongella
- Prof Issa Shivji
- Anna abdalla
23. Cleopa msuya
24.Profesa sarungi
25. Mzee Joseph butiku
26. Mzee Paul Boman