Orodha ya watumishi walioingizwa kwenye payroll mwezi May

pecial

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
734
555
Habari wana JF,

Naomba kwa mwenye orodha ya watumishi waliomo kwenye payroll ya Mwezi May a post tuione, mana tunasikia ipo orodha imetolewa ya watumishi watakaopata salary ya mwezi huu, nataka niangalie kama na mimi nimo kwenye hiyo orodha mana nilikutwa na cheti fake.
 
wewe baki na kumbukumbu ya kuwahi kuwemo kwenye pei roll.

pole kwa hali ilivyo na mtu anakunyang'anya tonge mdomoni.!
 
Back
Top Bottom