Orodha ya watu wanaoifisadi Orodha ya Mafisadi

Asha Abdala

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
1,130
44
1. Mchungaji Mtikila alipewa hongo ya milioni 3 toka kwa Rostam Aziz
2. Mhariri Manyerere Jacktson yeye alikiri kuvutiwa umeme kwa haraka kwenda nyumbani kwake kwa kimemo cha Edward Lowassa.

Endelezeni orodha hii. Lengo ni kujua, nani ni nani katika haya mapambano tunayoendelea nayo. Lazima kuwajua, washirika wetu na wanaotufisadi, tuwajue pia na mandumilakuwili. Wote tuwajue ili tusipigane risasi wenyewe.

Asha
 
je wewe umeshawahi kutoa au kupokea rushwa Tanzania?
Tangu uwe mtu mzima?
sio kwamba nakupinga hoja yako, ila mimi napenda kushafisha idara na serikali kwa ujumla wake, utendaji kazi uboreke. kusiwe na haja ya kutoa au kupokea rushwa.
watakaokamatwa, in the way basi watakuwa mfano, hata kama ni mimi au wewe.
Hata mimi nilihonga kupata umeme
 
Niliwahi kuandika kuwa kuna waandishi wengine ndo vinara wa kupokea rushwa na kuua ishu
 
je wewe umeshawahi kutoa au kupokea rushwa Tanzania?
Tangu uwe mtu mzima?
sio kwamba nakupinga hoja yako, ila mimi napenda kushafisha idara na serikali kwa ujumla wake, utendaji kazi uboreke. kusiwe na haja ya kutoa au kupokea rushwa.
watakaokamatwa, in the way basi watakuwa mfano, hata kama ni mimi au wewe.
Hata mimi nilihonga kupata umeme

Kutoa rushwa tu kusiangaliwe kama kigezo. Tuangalie pia mazingira ambayo yanamfanya mtu atoe rushwa. Kuna wengine wanatoa rushwa kwa sababu mazingira yaliyopo yanawalazimisha kutoa rushwa. hata wewe naamini ulilazimika kutoa rushwa na ukatoa ingawa hukufurahishwa na hilo, hali kama hiyo ni tofauti na watu wanaoshabikia rushwa (kwa kutoa au kupkea) kana kwamba ni utaratibu mahsusi wa maisha yao
 
then tushabikie na kugombania kutengenezwa system itakayowamaliza wote.
Naona tuaaproach hili swala kinyume.
tunaanza na watu amabao wanahisiwa na tunawashikia bango.
tunatakiwa tuanze na ishu zenye matatizo tuzhikie bango.
 
je wewe umeshawahi kutoa au kupokea rushwa Tanzania?
Tangu uwe mtu mzima?
sio kwamba nakupinga hoja yako, ila mimi napenda kushafisha idara na serikali kwa ujumla wake, utendaji kazi uboreke. kusiwe na haja ya kutoa au kupokea rushwa.
watakaokamatwa, in the way basi watakuwa mfano, hata kama ni mimi au wewe.
Hata mimi nilihonga kupata umeme

Hali ikifikia hapo tutakuwa poa kweli kweli. Tatizo ni kuwa kila mtu ni fisadi au mshiriki rushwa kuendana na nafasi aliyonayo au iliyotokea. Hii Ni shauri ya umaskini tu au uroho wa mali. Ili yasitokee hayo security ni lazima ifanye kazi. Hata ungeiita TAKUKURU poa tu. Lakini pale security ilipokuwa so loose hadi viongozi karibu wote including wao security yenyewe wakawa mafisadi inatisha. Taifa la mfano huu inasemekana limekufa .
 
Orodha ya Mafisadi wa Orodha ya Mafisadi,

Ina maana hii ni Orodha ya watu wanaoifisadi Orodha ya Mafisadi?

What does it mean kuifisadi Orodha ya Mafisadi? Does it mean ukiwa fisadi unayefisadi orodha ya mafisadi unakuwa na double negatives (kufisadi orodha ya mafisadi) and therefore unatokea positive, au wewe umezidi kwenye ufisadi uliokufuru unaifisadi hata orodha ya mafisadi?

Au ulitaka kusema Orodha ya Mafisadi wa Mafisadi?

Mafisadi wa Mafisadi ni watu wazuri kwa sababu wanawakwamisha mafisadi au ni watu wabaya kwa sababu wamefuzu ufisadi wa kawaida na wameenda kwenye ufisadi wa mafisadi?
 
Asha
Una maana gani? unataka kusema yaani ukiwa mpiga kelele kama wewe ni lazima fisadi akutafute ili akunyamazishe kwa kukupa kitu kidogo?

Iweke wazi hii maada haijakaa sawa Asha.
 
Wala sielewi Asha ana maana gani. Haweke wazi nini alitaka kuzungumza through heading hiyo hapo juu
 
Kutoa au kupokea rushwa kwa 90% ni hiari ya mtu. Haitegemei ana kipato gani au yuko kwenye mazingira gani.
10% wanalazimishwa na mazingira. tusiwazungumzie hao kwanza.
Nilivyomwelewa Asha anataka list ya watu wanaotuhujumu ili tusiwashughulikie mafisadi, hivyo wako upande wa mafisadi.
 
There is a malaise in Tanzania that is threatening to divert attention away from more important issues regarding the fight against poverty, diseases and illiteracy. This disease is called "Sustained witch-hunting". Let the law enforcement authorities do their work because personally I believe we are talking about criminal acts involving criminals here.

Lets not burden and monopolise every debate with tags of corruption. We rather need to focus and channel our energy and vigour in taking the country forward in things that really matter.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom