Orodha ya Wasanii wa Afrika wenye mkwanja mrefu, huyu wetu anayemiliki nyumba 126 imekuaje?

IMG_20210511_190053.jpg
 
Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Africa ila tunadanganyana tu,akabezwa..

List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa hata kwenye 15 hayupo..

Hii ina maana vile vyanzo vya mapato vyote inavosemekana vyake havimuingizii faida,watu wanajinufaisha kupitia yy alaf anatamba kwa sifa tu

Pole sana kwake na kwa nyie mnaomlamba miguu,dunia ya sasa ni vigumu sana kuongopa
Ngumu sana kujua mali za waafrika maana kwanza sisi siyo wawazi, ndiyo maana hata data za forbes africa kuna watu hawaziamini.
Hata kutajwa tu kwake ni jambo safi.
 
Hao Forbes huwa wanafuatilia vitu ambavyo ni rasmi, vilivyorekodiwa....Hivyo kama Muhusika na nchi yake hawana utaratibu mzuri wa kuweaka taarifa wao sio rahisi kukutambua maana watashindwa kukisia.
 
Mei 1, 2021, ilisambaa taarifa ya kifo cha Haroon Zakaria. Kumbe Zakaria ni Mfanyabiashara mkubwa na bilionea wa Kitanzania, ndio Mmiliki wa Makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills, Zan Fast Ferries na Majipoa.
Wenye fedha hawajitangazi, ila umma unawatambua kwa Miradi na vitegauchumi walivyo navyo. Hatumii nguvu sana kujitangazi wako hivi au vile.

Kanuni moja wapo ya kufanikiwa ni kutoweka wazi mipango yako.
 
Kwenye showbiz kujitangaza ndiyo kujibrand, vinaenda pamoja.
 
Koffi kafanya mziki mpaka anazeeka, lakini kapitwa na Diamond, amejitahidi sanaaaaaaa

Hapo sijaelewa takwimu hizi zimetoka wapi
Uzuri utandawazi unatusaidia sana kujua ukweli
Ukisoma utajiri wa Koffi mwaka 2016 alikuwa na net worth $18 m
Na wakati huo alikuwa anashika nafasi ya nne Africa

Ana mijengo Kinshasa, Paris na Belgium
 
Hii ni kwa mujibu wa Wikipedia, kama wanatudanga wanajua wao ila sidhani kama wanaweza kwenda mbali sana na ukweli kwani wanajua wasifanana na ukweli watakuwa wanajichafua na kujiharibia.
20210512_011758.jpg
20210512_011508.jpg
20210512_011411.jpg
 
Back
Top Bottom