The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,229
- 116,840
Nimeshindwa ku keep up na orodha hasa ya nani kasimamishwa
yupi kasitishwa yupi kavunjiwa mkataba
ndani ya siku mbili hizi nimesikia Ummy Mwalim MSD
Joyce Ndalichako Bodi ya mikopo,Simbachewene leo sijui wapi
na wale wa NIDA......
Now kwa nia nzuri ningeomba tuorodheshe wote waliotumbuliwa
toka awamu ya tano iingie....lengo sio kuponda wala kupongeza
lengo liwe ni ku keep the records tu....nahisi wanaweza kuwa utawala
uliovunja rekodi ya kufukuza watu wengi ndani ya muda mfupi..
Kama ni jambo zuri au la tutajua huko baadae
kwa sasa tuweke tu records......