Inasikitisha sana watanzania wenzetu wanakufa kwa ajili ya uzembe inamaana serikali haikujifunza katika ajali ya mv bukoba si mtaalamu wa mambo ya dna lakini hali hii inatisha serikali iwajike kuandaa watumshi wenye uchungu na nchi yao irejee yale aliyokuwa anayafanya hayati baba wa taifa jk nyerere