Orodha ya Walionusurika ajali ya Meli Zanzibar

Ivi jeshi la maji wanafanya nini?
Nilijua tatizo vifaa tuu kumbe ata watu wa uokoaji nao hatuna?
Ntafarijika kama watakuwa wamekuja ongeza nguvu na si kuja fanya iyo kazi wao kama wao!

mi najiuliza champion bus,mohamed tran zilipoteza maisha ya watu,achilia mbali mabomu ambayo mpaka sasa hakuna sbbu ya msingi.leo 2nalia na meli kweli mwisho wa chama cha matapeli umefika

Ivi jeshi la maji wanafanya nini?

Nilijua tatizo vifaa tuu kumbe ata watu wa uokoaji nao hatuna?

Ntafarijika kama watakuwa wamekuja ongeza nguvu na si kuja fanya iyo kazi wao kama wao!

0
Wao wamezama ndo wakaona maiti nyingi,
Meli yenyewe ilikuwa haina hata maboya ujue isue hz kwao dili,

aiseeee..inauma sana.halafu hali ilivyo ni kama hakuna msiba kwenye nchi hii.......

Natoa pole sana kwa watanzania wenzangu wote waliopoteza ndugu zao ktk ajali hii,tuko pamoja ktk hali hii ya majonzi,moyo unaniuma kama nipo Zanzibar,najua Mungu atawatia nguvu na kuwafariji,tunawaombea kwa mambo yote, uokozi na waliookolewa wapone haraka,naandika machozi yananilenga, sina mengi ila tuko pamoja Pemba na Zanzibar yote.Rai yangu serikali ijatahidi kwa kadiri iwezavyo kutoa msaada unaohitajika.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LITUKUZWE.

Kama na maboya hayakuwepo tena kweli kuna walakini kwani hakuna sheria kwamba vyombo vya majini vinatakiwa viwe na vyombo vya dharura kama maboya? Kweli ccm mmetupania

mi najiuliza champion bus,mohamed tran zilipoteza maisha ya watu,achilia mbali mabomu ambayo mpaka sasa hakuna sbbu ya msingi.leo 2nalia na meli kweli mwisho wa chama cha matapeli umefika

AJALI ya CHAMPION na chama cha matapeli.......

Kama na maboya hayakuwepo tena kweli kuna walakini kwani hakuna sheria kwamba vyombo vya majini vinatakiwa viwe na vyombo vya dharura kama maboya? Kweli ccm mmetupania

tuwaulize SUMATRA hapa sijui wanadhibiti nini??

Uh!poleni wafiwa,something must be done kwenye usimamizi wa sheria na ukaguzi wa usafiri majini

nimeshangaa sana kusikia agizo hili la jk.......DNA ni nzuri lakini akumbuke mait hao wamekfa maji ni rahisi sana kuharibika...

nimeshangaa sana kusikia agizo hili la jk.......DNA ni nzuri lakini akumbuke mait hao wamekfa maji ni rahisi sana kuharibika...

Amesema afadhari hawa wa MV BUKOBA WALIKUWA WEUPE KAMA KARATASI,
Ushauri wa DR.KATOA

Hali ya nchi ya tanzania inazidi kuwa mbaya siku hadi siku kitendo cha serikali kutopandisha vyeo na ngazi za mishahara ya watumishi kulingna na viwango vyao vya elmu hususani kwa wale waliojiendeleza inakatisha tamaa kwa watumishi wa umma na hali hii inalenga kuwabana watumishi wa umma wasijiendeleze waendele kubuluzwa je kwa staili hii tutafika je miaka 30 ijayo tanzania itakuwaje ikia serikali inabuni mbinu za kukatisha tamaa watumishi wake

Similar Discussions

Back
Top Bottom