Orodha ya Walio-oa/Olewa Kwa Msaada wa JF

Thanda

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,915
596
Wana JF, ningependa kujua wanaJF wa jinsia zote mbili ambao kupitia JF wabebahatika kupata wenza wa maisha na wameoana. Waje watuletee ushuhuda humu ili wengine wawe na moyo mkuu kuwwa yote yanawezekana.....NamtafutaJanet pen...huyu najua alishaolewa...Ukiuona uzi huu tafadhali tupe ushuhuda wako.
 
Kuna jamaa mmoja wa arusha alishaleta ushuhuda hapa, ila ngoja wanaweza kuletea
 
ha haaaaa, rafiki huu ndo ushuhuda wako?
hongera sana rafiki yangu, all the best na huyu uliyempata, lol!
karibu tutatangaziwa uteja hapa au tayari? mlongo wangu snowhite kaa tayaritayari na lijamanda, lol!

am oll iaz!af mimi mith yu ujue dada mkubwa!oh
 
mlongo wangu ikifika Ijumaa tu ujue lazima dada mkubwa atapotea, itabidi uzoee tu mlongo wangu.
nilisikitika sana kumiss exclusive ya rafiki yangu Ciello , hapa nataka nitafute nafasi niutafute ule uzi nisome mwanzo mpaka mwisho..... na maswali yangu nitatupia tu hata kama imepita, lol!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah ishapita usiitafute coz iliboa
mlongo wangu ikifika Ijumaa tu ujue lazima dada mkubwa atapotea, itabidi uzoee tu mlongo wangu.
nilisikitika sana kumiss exclusive ya rafiki yangu Ciello , hapa nataka nitafute nafasi niutafute ule uzi nisome mwanzo mpaka mwisho..... na maswali yangu nitatupia tu hata kama imepita, lol!
 
Last edited by a moderator:
Weye rafiki umekuwa mpelelezi siku hizi!? Naona umekodoa macho yako hayo for more than 15 hours waiting for BAK's answer lol! BAK is innocent until proven guilty...yatakushinda rafiki lol!

ha haaaaa, rafiki huu ndo ushuhuda wako?
hongera sana rafiki yangu, all the best na huyu uliyempata, lol!
karibu tutatangaziwa uteja hapa au tayari?
mlongo wangu snowhite kaa tayaritayari na lijamanda, lol!
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana rafiki FP mnahitaji kujipongeza kwa raha zenu lakini hakuna kulia. Mwambie Teja atafute bakora atakayeanza kuangusha mchozi tu basi bakora zitakuwa halali yake. Mie nipitishieni kigudulia cha ulanzi uliochanganywa na Johnnie Mtembezi. Kwa hisani ya watu wa jiji la Frankfurt na vitongoji vyake.

mlongo wangu ikifika Ijumaa tu ujue lazima dada mkubwa atapotea, itabidi uzoee tu mlongo wangu.
nilisikitika sana kumiss exclusive ya rafiki yangu Ciello , hapa nataka nitafute nafasi niutafute ule uzi nisome mwanzo mpaka mwisho..... na maswali yangu nitatupia tu hata kama imepita, lol!
 
Last edited by a moderator:
Weye rafiki umekuwa mpelelezi siku hizi!? Naona umekodoa macho yako hayo for more than 15 hours waiting for BAK's answer lol! BAK is innocent until proven guilty...yatakushinda rafiki lol!

rafiki, nakodolea macho kwa nia njema tu........., si unajua tena marafiki ni vizuri tukajua yanayoendelea kwa rafiki zetu? mtu akijisajiri chama cha mateja lazima marafiki tujuzwe......
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongereni sana rafiki FP mnahitaji kujipongeza kwa raha zenu lakini hakuna kulia. Mwambie Teja atafute bakora atakayeanza kuangusha mchozi tu basi bakora zitakuwa halali yake. Mie nipitishieni kigudulia cha ulanzi uliochanganywa na Johnnie Mtembezi. Kwa hisani ya watu wa jiji la Frankfurt na vitongoji vyake.

ha haaaaaaaaa, kwa hisani ya watu wa Frankfurt siyo? sawa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom