Orodha ya Wakuu wa Wilaya ambao wako kwenye hati hati ya utenguzi

Mdaiwa-Sugu

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
284
910
Hii ni orodha ya Wakuu wa Wilaya walioaminiwa na Hayati Magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha Utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo Ubabe, Majivuno, Ukatili, Migogoro na Watumishi, Wananchi n.k

1. Komanya Kitwala ( DC Tabora)

2. Lengai Ole Sabaya (DC Hai)

3. Joseph Mkude ( DC Ileje)

4. Jerry Muro ( DC Arumeru)

5. Asia Abdallah ( DC Kilolo)

6. Magembe (DC Ukerewe)

7. Mgoyi (DC Kilosa)

8. Kenan Kihongosi (DC Arusha)

Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi Mkubwa
 
Hii ni orodha ya wakuu wa wilaya walioaminiwa na hayati magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo ubabe, majivuno, ukatili, migogoro na watumishi, wananchi n.k

1. Komanya kitwala ( dc Tabora)

2. Lengai ole sabaya (dc Hai)

3. Joseph mkude ( dc ileje)

4. Jerry muro ( dc Arumeru)

5. Asia abdallah ( dc kilolo)

6. Magembe (dc Ukerewe)

7. Mgoyi ( dc kilosa)

8. Kenan kihongosi ( dc Arusha)

Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi mkubwa
Wakuwazingua kabisa ni hao wawili,Sabaya na Jeri Muro.Hawana haiba ya kwendana na mama
 
Hii ni orodha ya wakuu wa wilaya walioaminiwa na hayati magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo ubabe, majivuno, ukatili, migogoro na watumishi, wananchi n.k

1. Komanya kitwala ( dc Tabora)

2. Lengai ole sabaya (dc Hai)

3. Joseph mkude ( dc ileje)

4. Jerry muro ( dc Arumeru)

5. Asia abdallah ( dc kilolo)

6. Magembe (dc Ukerewe)

7. Mgoyi ( dc kilosa)

8. Kenan kihongosi ( dc Arusha)

Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi mkubwa
Ole Sabaya should be number 1, ninamuomba mama amfanyie vetting atapewa uzhuhuda wa dhuluma
 
Mama Rais ni mtu wa haki, hatopenda maumivu kwa watu wengi. Yawezekana asiwatoe hata mmoja akawa re shuffle na kuwapa ONYO NA KARIPIO.
Vile watakuwa wamepata second chance watakuwa na nidhamu.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Back
Top Bottom