Orodha ya wabunge wa CCM waliowahi kujiuzulu ubunge

Habari
Ninampongeza mheshimiwa Nyalandu kwa kufuata anachokiamini

Lakin tumeshuhudia watu wengi wanahama vyama kutoka ama chama tawala kwenda chama pinzani au chama pinzani kwenda chama tawala

Hii ni orodha ya wanachama waliowahi kuama vyama ni baadhi tu
1.Augustino Lyatonga Mrema 1995
2. Makongoro Nyerere 1995
3. Dr Wilbroad Slaa 1995
4. Steven Wassira 1995
5. John shibuda
6. Edward Lowassa
7. Frederic Sumaye
8. Lembeli
9 .zitto kabwe
10.Kitila Mkumbo
11. Samson mwigamba kahama mara 2

12. Lazaro Nyalandu,

Je kabla ya nyalandu
Kwa hao waliomtangulia kuhama kwao chama kuliwahi leta mabadiliko kwa maisha ya mtanzania wa kawaida?

Mi maoni yangu hata ahame Magufuli mwenyewe au mbowe bado kijana mtanzania unapaswa kujua kwamba hawa wanasiasa wanaama kwa kuangalia effect kwa famillia zao na maslahi yao ya baadae,

Tanzanian iliyojaa vijana wapika majungu ,fitina usengenyaji , uvivu na kuoneana wivu na kukwamishana kwa mambo muhimu, haiwezi badilika kwa kutegemea mtu kuhama chama,

Fungua macho na fikra
 
Ni mbunge gani mwingine anayetarajiwa kuhama CCM na kwenda CHADEMA.....???Tuangalie ule msemo wa "Ndege wafananao huruka pamoja"kama ni kweli...leading points
Nyalando kahudhuria vikao vya bunge mara ngapi awamu hii
Tafuta wabunge wengine waliohudhuria sawa na Nyalando halafu unganisha dots...
Huo ni utabiri wangu tu na siyo CORRECT
 
Back
Top Bottom