Uchaguzi 2020 Orodha ya wabunge na watia nia ambao kama watagombea hawatarudi bungeni 2020 kupitia vyama vyao au kisanduku cha kura

Dk Limbu ameshauriwa safari hii achukue jimbo la Sumve, liko wazi baada ya Mh. Ndassa kufariki. Bila Limbu kwenda kusimama jimbo hilo kuna uwezekano mkubwa kwamba CCM wanaweza kulipoteza. Vijana wa jimbo hilo wote waoga kugombea, unless labda iwe kuna mtu ambaye mimi simfahamu!
Waloyafanya majimbo yao, Mungu mwenyewe ataingia kazini na kuwaondoa!
Yajayo yanafurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ludia kusoma habari kabla ya comment.
Nimesema ndani ya vyama vyao vya siasa au kisanduku cha KURA.

Au hangover za faru john mzee??
Nani ka kwambia kuwa kwa sasa kisanduku cha kura kinaamua mshindi wa uchaguzi? Bali ni nani anatakiwa,walau Demokrasia ili kuwepo 2015-kurudi nyuma. Ndio walau mlikuwa mkiweza kukomaa, sanduku la kura litatoa kura zilizomo!!
 
hapiti,usicheze na mkuu wa nchi na pole2!


Sent using Jamii Forums mobile app

Hebu cheki hii picha yake🤣🤣
1.jpg
kujiaminikupita kiasi nitatizo. Hivi mkeo au dada yko anakanyagwa hivi!

Nampe ulimuomba msamaha jpm .
Waombe radhi nawapiga kura wako kwa tukio hili.
 
Kuna mwingine wa Busega sijui Dr kamani nae alikuwa anakwapua matokeo, yani ukiona utacheka.
 
Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea .

1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali wananchi! Hasa kipindi cha corona walisikika wakitaka nchi iwe lockdown.
2. Zitto - Kigoma Mjini
3. Raphael Chegeni - Busega
4. Ezekiel Maige - Msalala
5. Masele - Shinyanga Mjini
6. Mabula - Nyamagana
7. W. Ngeleja - Sengerema
8. Mathayo D. - Musoma
9. Dkt. Kamani - Mtia nia Busega
10. Dkt f. Limbu - Mtia nia Magu
11. Kiswaga - Magu
12. Eng Manyanya - Nyasa
13. J. Mhagama - Peramiho
14. Nchambi - Kishapu
15. ........ - Maswa

Unaweza kuongeza wakutoka au kutete wanaotakiwa kuondoka.
Magu anateua hadi wagombea wa upinzani, hii kweli Tanzania mupya.
 
jamani kwa wale watia nia na wataogombea kikubwa wananchi tunaitaji maendleo naxi ahad zang wakishachaguliwa bhx wengi wao awetekelezi ahadi kwo kwa mwaka u mwananchi tujitaidi kuchagua viongozi bora naxi bora viongoz kila cku tutaishia kulalamik bila mafanikio
 
Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea .

1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali wananchi! Hasa kipindi cha corona walisikika wakitaka nchi iwe lockdown.
2. Zitto - Kigoma Mjini
3. Raphael Chegeni - Busega
4. Ezekiel Maige - Msalala
5. Masele - Shinyanga Mjini
6. Mabula - Nyamagana
7. W. Ngeleja - Sengerema
8. Mathayo D. - Musoma
9. Dkt. Kamani - Mtia nia Busega
10. Dkt f. Limbu - Mtia nia Magu
11. Kiswaga - Magu
12. Eng Manyanya - Nyasa
13. J. Mhagama - Peramiho
14. Nchambi - Kishapu
15. ........ - Maswa
16.David Mathayo Same MAGHARIBI-CCM
17.Enaghenjwa Kaboyoka Same Mashariki CHADEMA
Unaweza kuongeza wakutoka au kutete wanaotakiwa kuondoka.
 
Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea .

1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali wananchi! Hasa kipindi cha corona walisikika wakitaka nchi iwe lockdown.
2. Zitto - Kigoma Mjini
3. Raphael Chegeni - Busega
4. Ezekiel Maige - Msalala
5. Masele - Shinyanga Mjini
6. Mabula - Nyamagana
7. W. Ngeleja - Sengerema
8. Mathayo D. - Musoma
9. Dkt. Kamani - Mtia nia Busega
10. Dkt f. Limbu - Mtia nia Magu
11. Kiswaga - Magu
12. Eng Manyanya - Nyasa
13. J. Mhagama - Peramiho
14. Nchambi - Kishapu
15. ........ - Maswa

Unaweza kuongeza wakutoka au kutete wanaotakiwa kuondoka.
Paragraph ya kwanza tu nikaudharau uzi wako
 
Kwa Dr. Limbu kwenda jimbo la sumve ni afadhari! Maana magu haweziwaambia kitu, yule jamaa mbinafsi sana, anakiburi cha uzima pia, ila watu wa sumve utawasikia tu watakavyolia km watampitisha.

Hapana hayuko hivyo, mimi namfahamu. Kuna tatizo kubwa usukumani kwamba mtu akishakuwa Mbunge wao, wanadhani kuwa atakuwa na uwezo wa kutatua matatizo yao yeye mwenyewe binafsi, ikiwemo kuwapa misaada pamoja na fedha kutoka mfukoni mwake. Dr. Limbu hana uwezo huo, wala mimi au wewe; na ni Wabunge wachache sana ndani ya JMT wanaoweza kufanya hivyo; wapo lakini wachache sana. Limbu for 2020 anawafaa sana wanachi wa Jimbo la Sumve, na CCM pia. Zaidi ni kuwa ni mkongwe ndani ya Chama na hivyo ana uwezo wa kuwa-coordinate, kuwa-mobilize na hata kuwa-guide wagombea Ubunge wenzake wa majimbo jirani na la kwake. Mimi nashauri Limbu wampe Sumve 2020 halafu akipata, ahakikishe kuwa ana vijana rika la 35 mpaka 45 ambao atawa-groom kwa ajili ya kuja kuwaachia majimbo huko mbele ya safari, na asifanye hivyo kwa jimbo lake tu bali kwa majimbo mengine pia yaliyoko jirani naye
 
16. Ole melya wajimbo la simanjiro
17. Mollel wa Jimbo la siha
18.shaly Raymond viti maalum ccm Kilimanjaro
19. Prof magembe Jimbo la mwanga kilimanjaro
20.Riziwani kikwete Jimbo la chalinze
21. Job ndugai Jimbo la kongwa
22. Mbunge Jimbo la nyangwale geita
23. Mbunge Jimbo la Arusha mjini CDM

24. Mbunge Jimbo la meru ccm
25. January makamba
26. Mbunge wa biharamulo
27. Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mara
28. Jimbo la monduli arusha

Jamani namba 26 ni swahiba yangu naomba umuondoe kwa orodha yako!@Mhe.Oscar Mukasa
 
Back
Top Bottom