Orodha ya vijana maarufu wenye pesa bila msoto hapa Tanzania

Hili naliafiki kwa sababu kuna mzee alikuwa anakaa nae maeneo ya Korogwe. Yeye mzee alikuwa muajiriwa wa tanesco wilaya ya korogwe
Sina uhakika sana kama amepiga pesa mahali lakini msukuma namkumbuka miaka ya 2000 mwanzoni alikuwa akifanya biashara ya simu wilaya za Lushoto na Korogwe tena kipindi kile alikuwa anawakopesha watumishi wa serikali. Imagine ndio simu zilikuwa zinaingia katika maeneo hayo then unakopeshwa kwa bei kubwa. Jamaa alipiga sana hela. Alikuwa na maduka ya simu Lushoto na Korogwe yana nembo ya Celtel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom