Orodha ya vijana maarufu wenye pesa bila msoto hapa Tanzania

Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
1,869
Likes
4,528
Points
280
Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
1,869 4,528 280
Kuna watu hupata fedha baada ya muda mrefuuu tena baada ya kusota sana. Hawa wana kahistoria fulani hivi ka kupambana na mabiashara, kilimo, ufugaji n.k. Historia iliyojaa machungu na upambanaji wa kila namna ( siyo watu wa kazi , madawa ya kulevya ).

Kuna list ya vijana wadogo kabisa ambao wana mali na pesa chafu sana ghafla bin vuu...vijana laini laini tu walioibuka paaapu toka kusikojulikana.

Embu tuwaprodheshe vijana wadogo maarufu wenye pesa zisizoendana na umri wao na namna walivyozipata kibongo bongo!

1. Davis Mosha

2. Joseph Msukuma

3. Livingstone Lusinde

4. Mwigulu Nchemba Madelu

5. January Makamba

6. Adam Malima

7. Ezekiel Maige

Unaweza kuendelea....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
8,828
Likes
13,832
Points
280
M

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
8,828 13,832 280
polepole mi hata simuelewi yupo kama mzemzee hivi mara tena kama dogo wa primary mara tena kama kijana mgonjwamgonjwa,,,,mwe
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sentensi ya mwisho ndo imebeba jibu letu...jibu limetaradadi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
cadey

cadey

Senior Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
186
Likes
263
Points
80
cadey

cadey

Senior Member
Joined Oct 14, 2014
186 263 80
Kuna watu hupata fedha baada ya muda mrefuuu tena baada ya kusota sana ... Hawa wana kahistoria fulani hivi ka kupambana na mabiashara , kilimo, ufugaji ,nk..Historia iliyojaa machungu na upambanaji wa kila namna ( siyo watu wa kazi , madawa ya kulevya ).

Kuna list ya vijana wadogo kabisa ambao wana mali na pesa chafu sana ghafla bin vuu...vijana laini laini tu walioibuka paaapu toka kusikojulikana.

Embu tuwaprodheshe vijana wadogo maarufu wenye pesa zisizoendana na umri wao na namna walivyozipata kibongo bongo!

1. Davis Mosha

2. Joseph Msukuma

3. Livingstone Lusinde

4. Mwigulu Nchemba Madelu

5. January Makamba

6. Adam Malima

7. Ezekiel Maige

Unaweza kuendelea....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umetaja wanasiasa sasa,afu mbona sio vijana wadogo
 
M

microX

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Messages
452
Likes
185
Points
60
M

microX

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2011
452 185 60
polepole mi hata simuelewi yupo kama mzemzee hivi mara tena kama dogo wa primary mara tena kama kijana mgonjwamgonjwa,,,,mwe
Ni kweli usemalo hali kama hiyo anayo katibu wao mkuu ,huwez kumwelewa zamani aliheshimika kama msomi PhD sasa hivi kawa kama comedian lakini sio comedian ,DPP lakini si DPP yaani tabu tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sir John Roberts

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,955
Likes
2,077
Points
280
Sir John Roberts

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,955 2,077 280
Mbona umeweka orodha ya wazee unasema vijana?
 
J

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Messages
6,781
Likes
2,472
Points
280
J

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2013
6,781 2,472 280
Kuna watu hupata fedha baada ya muda mrefuuu tena baada ya kusota sana ... Hawa wana kahistoria fulani hivi ka kupambana na mabiashara , kilimo, ufugaji ,nk..Historia iliyojaa machungu na upambanaji wa kila namna ( siyo watu wa kazi , madawa ya kulevya ).

Kuna list ya vijana wadogo kabisa ambao wana mali na pesa chafu sana ghafla bin vuu...vijana laini laini tu walioibuka paaapu toka kusikojulikana.

Embu tuwaprodheshe vijana wadogo maarufu wenye pesa zisizoendana na umri wao na namna walivyozipata kibongo bongo!

1. Davis Mosha

2. Joseph Msukuma

3. Livingstone Lusinde

4. Mwigulu Nchemba Madelu

5. January Makamba

6. Adam Malima

7. Ezekiel Maige

Unaweza kuendelea....

Sent using Jamii Forums mobile app

8. Jamaa_Mbishi
 
I

IQ M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Messages
574
Likes
221
Points
60
I

IQ M

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2015
574 221 60
Kuna watu hupata fedha baada ya muda mrefuuu tena baada ya kusota sana ... Hawa wana kahistoria fulani hivi ka kupambana na mabiashara , kilimo, ufugaji ,nk..Historia iliyojaa machungu na upambanaji wa kila namna ( siyo watu wa kazi , madawa ya kulevya ).

Kuna list ya vijana wadogo kabisa ambao wana mali na pesa chafu sana ghafla bin vuu...vijana laini laini tu walioibuka paaapu toka kusikojulikana.

Embu tuwaprodheshe vijana wadogo maarufu wenye pesa zisizoendana na umri wao na namna walivyozipata kibongo bongo!

1. Davis Mosha

2. Joseph Msukuma

3. Livingstone Lusinde

4. Mwigulu Nchemba Madelu

5. January Makamba

6. Adam Malima

7. Ezekiel Maige

Unaweza kuendelea....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani mwenye pesa hapo sasa?ukitaka kujua MTU anapesa unafiki na kunyenyekea ujinga sio sehemu ya maisha yake.
 
Niccolo Machiavelli

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
975
Likes
1,549
Points
180
Age
24
Niccolo Machiavelli

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2017
975 1,549 180
Kumbe hao ni matajiri labda Mosha

Huyu msukuma ni muuza ndovu za tembo maarufu saana,kipindi cha Jk wa pili huyu alikua kisanga....wenyeji wa kanda yao wanamjua vyema.

Sent using Jamii Forums mobile app
ndo maana bungeni amekazania Lissu.....Lissu...ili madudu yake yasiibuliwe
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
3,472
Likes
2,822
Points
280
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
3,472 2,822 280
Acheni wivu, kama wewe ni mwajiriwa usitegemee hayo maisha
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
8,067
Likes
6,182
Points
280
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
8,067 6,182 280
Ungeweka kiwango cha pesa....
 
Maurice Moore

Maurice Moore

Senior Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
131
Likes
184
Points
60
Maurice Moore

Maurice Moore

Senior Member
Joined Aug 22, 2018
131 184 60
Mosha anamiliki Sheli za Kobil, ana magari ya mafuta yameandikwa Delina zaidi ya 100, Opposite na Mlimani City kuna Ghorofa moja kubwa sana limeandikwa DELINA APARTMENTS roughly limeCost mabilioni ya fedha, anamiliki Magari ya kifahari mengi ya kutembelea kama Rolls Royce, Lamborghini Murcealago, Lummar CLRR etc. hizo ni baadhi ya mali nnazozijua
Tangu lini mbunge akaishiwa pesa? Huyo Mosha ndio simjui.
Dhumuni la bandiko?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
969
Likes
1,272
Points
180
Age
49
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
969 1,272 180
Mosha anamiliki Sheli za Kobil, ana magari ya mafuta yameandikwa Delina zaidi ya 100, Opposite na Mlimani City kuna Ghorofa moja kubwa sana limeandikwa DELINA APARTMENTS roughly limeCost mabilioni ya fedha, anamiliki Magari ya kifahari mengi ya kutembelea kama Rolls Royce, Lamborghini Murcealago, Lummar CLRR etc. hizo ni baadhi ya mali nnazozijua

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe delina apartments ni za Mosha nashukuru kwa kunijuza
 
Forum statistics

Threads 1,262,316
Members 485,560
Posts 30,120,613