Kutwa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2016
- 229
- 668
Habari wanateknolojia, kama tujuavyo uwepo wa hub na innovation centers katika nchi au sehemu huchangia kwa kiasi kikubwa kusukuma kasi ya ugunduzi na uongezaji ufanisi wa vifaa na mifumo ya teknolojia.
Nimeanzisha uzi huu lengo likiwa ni kujua mahali zilipo hizi Tech Hubs nikimaanisha mkoa(wilaya) na hata namna ya kuwasiliana nao kama inawezekana.
Binafsi naifahamu BuniHub inayopatikana pale Jengo la Sayansi(Costech) Kijitonyama.
Ningeomba na wengine wanaozifahamu waorodheshe eneo lilipo na jina la pia kama kutakuwa na maelezo zaidi ni vema tukajulishana. Sharing is Caring.