Orodha ya Mikoa ambayo inayoongoza kuchagua wabunge wa upinzani tangu 1995

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,215
3,682
katika pitapita nilikutana NA mjadala wa MIKOA AMBAYO inaongoza KUCHAGUA vyama vya UPINZANI NA WABUNGE WA UPINZANI TANGU 1995 BAADA YA KUPITA MAJIMBONI NA IDADI YA WABUNGE KWA UJUMLA.

1.MKOA WA KIGOMA NCCR 6, ACT 1, CHADEMA 3 JUMLA MAJIMBO 11

2.MKOA WA MARA NCCR 3 CHADEMA 8 JUMLA MAJIMBO 11

3.MKOA WA DAR ES SALAAM NCCR 1,CUF 3,CHADEMA 4 JUMLA MAJIMBO 8

4.MKOA WA ARUSHA NCCR 1, CHADEMA 7 JUMLA MAJIMBO 8

5.MKOA WA KILIMANJARO NCCR 2,TLP 1,CHADEMA 6, JUMLA MAJIMBO 9

6.MKOA WA LINDI CUF 5 JUMLA MAJIMBO MA 5

7.MKOA WA MTWARA CUF 4, CHADEMA 1 JUMLA MAJIMBO 5

8.MKOA WA MOROGORO CHADEMA 4 MAJIMBO 4

9.MKOA WA MBEYA CHADEMA 3, NCCR 1 JUMLA MAJIMBO 4

10.MKOA WA TABORA NCCR 1, CUF 1 MAJIMBO 2.

11.MKOA WA SHINYANGA UDP 1, CHADEMA 1 MAJIMBO 2.

10.MKOA WA KAGERA CUF 1, CHADEMA 2, TLP JUMLA MAJIMBO 4,

11.MKOA WA MWANZA CHADEMA 2 NA UDP 1 JUMLA MAJIMBO 3 Hili likiwemo ukerewe,nyamagana NA ilemela TUU

12.MKOA RUKWA MARA 1 HII ILIKUWA JIMBO LA MPANDA CHADEMA KWA SAID ARFI.

13.MKOA WA TANGA MARA MOJA TANGA MJINI KUPITIA CUF JIMBO moja

14.MKOA WA IRINGA MARA MOJA IRINGA MJINI CHAMA CHADEMA 1,NCCR 1 JUMLA MAJIMBO MAWILI YA UPINZANI

15.MKOA. WA SINGIDA JIMBO MOJA LA SINGIDA MASHARIKI 1

MIKOA AMBAYO HAIJAWAHI KUTOA MBUNGE WA UPINZANI TANGU 1995 UANZE. KUNA DODOMA,RUVUMA NA PWANI

HUU NI UCHUNGUZI MAJIMBO AMBAYO YALIWAHI KUCHUKULIWA NA UPINZANI TANGU 1995 KAMA KUNA MABADILIKO HAPO HAYAPO SAWA KAMA KUNA JIMBO LIMESAHAULIKA

HAYA TUENDELEE SASA WE UNATOKEA JIMBO GANI
 
Sidhani kama utafiti wako utakuwa sahihi.... Mara: 1: Musoma vijijini (Balozi Ndobho) 2005 nccr ; 2: Musoma MJINI (Vicente) 2010 chadema; 3: Tarime (Wangwe, Charles) 2005 chadema; 4: Mwibara (Mtamwega) 2005 nccr; 5: Bunda MJINI( Ester Bulaya) 2015 chadema ; 6: Tarime vijijini( John heche) 2015 chadema; 7: Tarime MJINI ( ester Matiko) 2015 chadema ; 8: Serengeti ( mwalimu Ryoba) 2015 chadema
 
Iringa mara tatu, 95 na 2010 na 2015

Wewe tafiti zako umefanyia wapi?

Au ni za TWAWEZA?
MKUU kuhusu mwaka 1995 labda ntakuwa nimesahau MBUNGE alikuwa NI nani ila 2010 NA 2015 JIMBO NI MOJA tuu LA IRINGA MJINI lililochukuliwa NA UPINZANI ukiachana NA hilo hakuna JIMBO lingine lolote lililochukuliwa NA UPINZANI NDIO maana nikasema JIMBO moja
 
Sidhani kama utafiti wako utakuwa sahihi.... Mara: 1: Musoma vijijini (Balozi Ndobho) 2005 nccr ; 2: Musoma MJINI (Vicente) 2010 chadema; 3: Tarime (Wangwe, Charles) 2005 chadema; 4: Mwibara (Mtamwega) 2005 nccr; 5: Bunda MJINI( Ester Bulaya) 2015 chadema ; 6: Tarime vijijini( John heche) 2015 chadema; 7: Tarime MJINI ( ester Matiko) 2015 chadema ; 8: Serengeti ( mwalimu Ryoba) 2015 chadema
MKUU safi sana nadhani tuko pamoja NA Mimi
 
Ingawaje kuna makosa madogo madogo kwa baadhi ya mikoa kama Mwanza hapo, ila hii inasema mengi sana, kuna propaganda ya kijinga sana iliyopigwa sana 2015/2016 kuwa baadhi ya mikoa ndiyo yenye akili, kisa imechagua upinzani 2015 tu, wakati kuna mikoa imeshatumia demokrasia yao ya kuweka upinzani na CCM vya kutosha, vijana wengi wanadanganyika sababu wameshikiwa akili.
 
Umesahau mjini magharibi unguja,kaskazini unguja,kusini Pemba na kaskazini Pemba
 
MKUU kuhusu mwaka 1995 labda ntakuwa nimesahau MBUNGE alikuwa NI nani ila 2010 NA 2015 JIMBO NI MOJA tuu LA IRINGA MJINI lililochukuliwa NA UPINZANI ukiachana NA hilo hakuna JIMBO lingine lolote lililochukuliwa NA UPINZANI NDIO maana nikasema JIMBO moja
95 ni kibasa
 
Moshi mjini (kilimanjaro)
Upinzani umeshinda tangu 1995
1995-2000 Mtui nccr mageuzi
2000-2015 philemon ndesamburo chadema
2015- jafar michael chadema

Ina maana kuwa tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini ccm haijawahi kutwaa jimbo la moshi mjini.
 
Back
Top Bottom