Orodha ya mashirika ambayo graduates wengi wa tanzania hutamani kuajiriwa.

Nataka kazi ila sitaki usumbufu, kama kuna mtu anamfaham hr yeyote ni pm nimtie hela atoe kazi..
 
Mkuu hivi hawa jamaa mtumishi wa chini salary yake ni km shilingi ngp maana nasikia hawavumi ila wamo.

Ila Kweli, Hata Mimi Ningependa Kufahamu Mkuu.

Na Ajira Zao Zinatokaje? Mpaka Upitie JKT au Unajiunga Moja Kwa Moja Wataenda Kukupa Mafunzo Maalum Kwenye Chuo Chao?
 
Back
Top Bottom