Orodha ya Marais waliowahi kutawala Zanzibar 1964-2018

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,852
1.Sheikh Abeid Amani Karume
-1964-1972
2.Sheikh Mwinyi Aboud Jumbe
-1972-1984
3.Ali Hassani Mwinyi-1984-1985
4.Idris Abdul Wakili
-1985-1990
5.Salmin Amour
-1990-2000
6.Amani Abeid Karume-2000-2010
7.Dr.Ali Mohamed Shein
-2010-2020
Kama una swali uliza utajibiwa hapahapa
 
1.Sheikh Abeid Amani Karume
-1964-1972
2.Sheikh Mwinyi Aboud Jumbe
-1972-1984
3.Ali Hassani Mwinyi-1984-1985
4.Idris Abdul Wakili
-1985-1990
5.Salmin Amour
-1990-2000
6.Amani Abeid Karume-2000-2010
7.Dr.Ali Mohamed Shein
-2010-2020
Kama una swali uliza utajibiwa hapahapa
Kwani kuna aliyekuuliza maraisi waliotawala Zanziba?
 
1.Sheikh Abeid Amani Karume
-1964-1972
2.Sheikh Mwinyi Aboud Jumbe
-1972-1984
3.Ali Hassani Mwinyi-1984-1985
4.Idris Abdul Wakili
-1985-1990
5.Salmin Amour
-1990-2000
6.Amani Abeid Karume-2000-2010
7.Dr.Ali Mohamed Shein
-2010-2020
Kama una swali uliza utajibiwa hapahapa

Tanzania Bara je?
 
MWINYI aliwekwa atawale Zanzibar kwa mwaka mmoja tu, alipoonekana anafaa ndio akaletwa huku Bara kumrithi Nyerere.

Ila hapo Wazanzibar hawatoisahau awamu ya Rais Salmin Amour " Komandoo " huku Mohamed Gharib Billali akiwa Waziri Kiongozi, ulikuwa ni utawala wa mkono wa chuma, damu ilimwagika, watu walipotea na baadhi ya wapemba walikimbia Nchi wakakimbilia Mombasa.

Kweli nyakati huja na kutoweka. Apumzike kwa amani Idris Abdul Wakil Rais mpole na muungwana kuwahi kutokea Zanzibar na ndio maana haishangazi alikuwa Rais wa awamu moja tu.

Zanzibar ina historia kubwa sana ambayo watawala wanajitahidi kuificha sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom