Orodha ya makabila ya Tanzania

Dodoma Demand

Senior Member
Oct 6, 2021
130
74
Hii orodha ya makabila ya Tanzania inaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali.

Orodha hii inatokana na orodha ya lugha za Tanzania inayopatikana katika Ethnologue, pamoja na tovuti nyingine Archived 22 Agosti 2006 at the Wayback Machine..

Inawezekana kwamba baadhi ya majina ya makabila ni majina ya lugha au lahaja tu, badala ya makabila, na labda majina mengine yaliandikwa vibaya.

Juu ya hiyo, hakuna ufafanuzi wa wazi kusema kikundi fulani ni kabila au siyo. Vikundi kadhaa katika orodha hii vina wenyeji mamia tu, lakini vikundi vingine vina mamilioni ya watu; labda kila kikundi kinaitwa "kabila," lakini ni jamii za aina tofauti kabisa. Vikundi katika ukurasa huu vimeorodheshwa kuwa vikundi tofauti kutokana na ushahidi kutoka Ethnologue kutofautisha lugha zao.

Hii ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Tanzania, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Tanzania na nchi za jirani.

Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi katika Tanzania kama wakimbizi tu, hasa kutokana na vita katika nchi za jirani. Vilevile ukurasa huu hauorodheshi vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Uarabuni au Uhindi.

Kwa sasa inakadiliwa kuwepo kwa makabila takribani zaidi ya mia moja na ishirini (120) ambayo hupatikana katika mikoa yote ya Tanzania

orodha yako ina shida alafu m nilizan ungetaja mkoa na makabila yaliyopo
 
Amandika akiwa anakimbizwa
NHC wameamua kutumia UCHAWI ili miji ING'ARE..... Zaidi ya magorofa 500 yameota maeneo ya Nzuguni DODOMA leo... Kwa sasa HALMASHAURI YA JIJI INAANGAIKA KUMILIKISHA WATU MAGOROFA HAYO... HAKIKA UCHAWI UNALIPA BADALA YA KUJENGA UNAKUTA MAJENGO YAMEOTA KAMA UYOGA, MAHARAGE.... yanavutia.... Nilikuwa na WIVU WA MAENDELEO YA DODOMA

download.jpg
 
Hii orodha ya makabila ya Tanzania inaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali.

Orodha hii inatokana na orodha ya lugha za Tanzania inayopatikana katika Ethnologue, pamoja na tovuti nyingine Archived 22 Agosti 2006 at the Wayback Machine..

Inawezekana kwamba baadhi ya majina ya makabila ni majina ya lugha au lahaja tu, badala ya makabila, na labda majina mengine yaliandikwa vibaya.

Juu ya hiyo, hakuna ufafanuzi wa wazi kusema kikundi fulani ni kabila au siyo. Vikundi kadhaa katika orodha hii vina wenyeji mamia tu, lakini vikundi vingine vina mamilioni ya watu; labda kila kikundi kinaitwa "kabila," lakini ni jamii za aina tofauti kabisa. Vikundi katika ukurasa huu vimeorodheshwa kuwa vikundi tofauti kutokana na ushahidi kutoka Ethnologue kutofautisha lugha zao.

Hii ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Tanzania, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Tanzania na nchi za jirani.

Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi katika Tanzania kama wakimbizi tu, hasa kutokana na vita katika nchi za jirani. Vilevile ukurasa huu hauorodheshi vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Uarabuni au Uhindi.

Kwa sasa inakadiliwa kuwepo kwa makabila takribani zaidi ya mia moja na ishirini (120) ambayo hupatikana katika mikoa yote ya Tanzania

Kuna #Wasweta sijawaona kwenye list yako,Nina mashaka
 
orodha yako ina shida alafu m nilizan ungetaja mkoa na makabila yaliyopo

Zaidi ya dhana ya jamii mbalimbali kushare teknolojia, mahitaji, huduma na ujuzi kwa ustawi wa taifa letu kabila la mtu lina faida gani zaidi?
 
Wakonongo, wanyamwezi, wakimbu, Wafipa - all speking the same language - Nyamwezi.
 
Back
Top Bottom