Ijue orodha ya majenerali wa JWTZ toka liundwe

Sijui kama ni sahihi kusema hivi..
One Star General...: huyu ni Brig General
Two Star General....huyu ni Major General
Three Star General....huyu ni Lt.General
Four Star General.....huyu ni General au CDF
WOOTE HAO WANAITWA GENERAL na kwa hali ilivyo sasa hivi,wako wengi saana
 
Mayunga, Waitara Walikuwa Balaa

Ila Mwamunyange Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"

JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"
Kama ni hatari waende somalia
 
Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ

Mwaka 1974 hadi 1975 Brigedia Jenerali Simon Nkwera
Mwaka 1975 hadi 1980 Meja Jenerali Tumainiel Kiwelu
Mwaka 1980 hadi 1983 Meja Jenerali Imran Kombe
Mwaka 1983 hadi 1988 Meja Jenerali Martin Mwakalindile
Mwaka 1988 hadi 1994 Luteni Jenerali Tumainiel Kiwelu 1988 hadi 1994
Mwaka 1994 hadi 2001 Luteni Jenerali Gideon Sayore
Mwaka 2001 hadi 2006 Luteni Jenerali Iddi Gahhu
Mwaka 2006 hadi 2007 Luteni Jenerali Davis Mwamunyange
Mwaka 2007 hadi 2012 Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo
Mwaka 2012 hadi 2015 Luteni Jenerali Samweli Ndomba
Mwaka 2015 hadi 2017 Luteni Jenerali Venance Mabeyo

source:http://egatest.go.tz/tpdf/sho-pages/wanadhimu-wakuu-waliopita-jwtz
 
Shimbo hajawahi kuwa mkuu wa majeshi full general. Aliishia lt. General akiwa mnadhim mkuu wa jwtz
 
Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ

Mwaka 1964 hadi 1974 liliongozwa na Jenerali Mirisho Sarakikya
Mwaka 1974 hadi 1980 liliongozwa na Jenerali Abdalah Twalipo.
Mwaka 1980 hadi 1988 liliongozwa na Jenerali David Musuguri.
Mwaka 1988 hadi 1994 liliongozwa na Jenerali Mwita Kiaro.
Mwaka 1994 hadi 2001 liliongozwa na Jenerali Robert Mboma.
Mwaka 2001 hadi 2007 liliongozwa na Jenerali George Waitara.
Mwaka 2007 hadi 2017 liliongozwa na Jenerali Davis Mwamunyange.
Mwaka 2017 hadi sasa linaongozwa na Jenerali Venance Mabeyo

source: http://egatest.go.tz/tpdf/sho-pages/wakuu-wa-majeshi-waliopita-jwtz
 
Ila wameshindwa kulinda demokrasia which is very regrettable na inaharibu sifa zooote hizo mnazoweza kuwapa...!!!
 
Duh kumbe huyo Twalipo alikuwa ni MG,ndo maana kumbe ile kambi ya pale kilwa road karibu nasabasaba ikaitwa ABDALLah Twalipo
 
Dunia sasa huwezi jivunia vita za chini kwasababu ya technolojia,nina imani kubwa sana kuwa JWTZ sasa inatisha kila sekta,iwe juu au chini,majini au jangwani
Mayunga, Waitara Walikuwa Balaa

Ila Mwamunyange Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"

JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"
 
Uzi huu Ni kwa ajili ya kuwatambua majenerali wote wa JWTZ toka iundwe mwaka 1964 tukitambua umahiri wao katika kuiweka Tanzania yetu salama

Mimi naanza na Hawa wachache ninaowakumbuka

Twalipo
Musuguri
Kiwelo
Mayunga
Makunda
Mboma
Mabeyo
Mwamunyange
Shimbo
Waitara
Muhidini

Endeleza list yako sio vibaya pia katika kunogesha tukapata matendo yao ya ushujaa katika utumishi wao.

Tuwaenzi hawa kama Israel inavyowaenzi majenerali wake wa IDF wote wako wikpedia sisi tunashindwa nini?
Majenerali au ma meja jenerali!?
 
Stori za vibanda vya kawaha hizo,,labda wanaongoza kwa operesheni za kukaa chini ya miembe kupiga story
Mayunga, Waitara Walikuwa Balaa

Ila Mwamunyange Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"

JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"
 
Back
Top Bottom