umepotea njia kidogo
Sasa wataendeleaje wakati ukomo ndo upo kwa mabeyo ..
Watu bhana.
Nadhan anamanisha wakuu wamajeshi yetu wakwnza hadi huyu mwanasiasa
Kama ni hatari waende somaliaMayunga, Waitara Walikuwa Balaa
Ila Mwamunyange Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"
JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"
Operesheni dhidi ya waasi m23 ndo kaliMayunga, Waitara Walikuwa Balaa
Ila Mwamunyange Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"
JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"
Umemsahauje Generali Banza Stone?
Mayunga, Waitara Walikuwa Balaa
Ila Mwamunyange Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"
JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"
Majenerali au ma meja jenerali!?Uzi huu Ni kwa ajili ya kuwatambua majenerali wote wa JWTZ toka iundwe mwaka 1964 tukitambua umahiri wao katika kuiweka Tanzania yetu salama
Mimi naanza na Hawa wachache ninaowakumbuka
Twalipo
Musuguri
Kiwelo
Mayunga
Makunda
Mboma
Mabeyo
Mwamunyange
Shimbo
Waitara
Muhidini
Endeleza list yako sio vibaya pia katika kunogesha tukapata matendo yao ya ushujaa katika utumishi wao.
Tuwaenzi hawa kama Israel inavyowaenzi majenerali wake wa IDF wote wako wikpedia sisi tunashindwa nini?