Ijue orodha ya majenerali wa JWTZ toka liundwe

Likilinganishwa na jeshi la lipi?Inamaana hata USA,wanakaa kwetu,basi sisi ni hatari,hakika kwa tulivyo baadhi yetu wa-Tanzania,timu yetu ya mpira wa miguu ingekua inacheza na hatujui imefungwa au haijafungwa,nadhani tungesema timu yetu ya mpira wa miguu ni timu bora kuliko timu yoyote tangu ulimwengu uumbwe,sijamaanisha tunayo tabia yakuji-mwambafai.
Umeambiwa Africa.
 
Dah! Mkuu hiyo arguement yako naona kama ligi ambayo siwezi kuishiriki sawasawa, maana ninayokueleza nina uhakika nayo.

Cheo kutovaliwa siyo kwamba hakipo.
Muundo wa vyeo vya Jwtz baada ya private (plain shirt) kuna Lance corporal hadi (Field) Marshal.

Vyeo vya jeshi huvaliwa kutokana na sifa pia muundo.
Unaweza kuwa na sifa lakini muundo kama hauruhusu, hauwezi kuvalishwa cheo husika.

Pia muundo unaweza kuruhusu, lakini mtu mwenye sifa ya kuvaa cheo hicho akakosekana.

Pia nimekueleza generali kinaanzia ubrigedia.
Huyo Kiwelu unayemsema kastaafu na cheo cha Lt gen na siyo gen.
Narudia tena.
Hatuna habari ya marshal. Tumainieli Kiwelu mpaka alikuwa Jenerali, na ni mara ya kwanza kwa Nchi yetu kuwa na Jenerali ambaye hakuwahi kuwa mkuu wa Jwtz
 
Kwani Kiongozi upo Kanda gani?

Uzi huu Ni kwa ajili ya kuwatambua majenerali wote wa JWTZ toka iundwe mwaka 1964 tukitambua umahiri wao katika kuiweka Tanzania yetu salama
Mimi naanza na Hawa wachache ninaowakumbuka
Twalipo
Musuguri
Kiwelo
Mayunga
Makunda
Mboma
Mabeyo
Mwamunyange
Shimbo
Waitara
Muhidini
Endeleza list yako sio vibaya pia katika kunogesha tukapata matendo yao ya ushujaa katika utumishi wao.
Tuwaenzi hawa kama Israel inavyowaenzi majenerali wake wa IDF wote wako wikpedia sisi tunashindwa nini?
 
Mayunga, Waitara Walikuwa Balaa

Ila Mwamunyange Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"

JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"
Hasa kudhibiti wapinzani Zanzibar,na kuikingia kifua CCM wakati wa uchaguzi.
lakini kule congo hula kichapo cha mbwa koko.
 
Hili jeshi la kibaguzi!
Watanganyika wanapean wenyewe tuu Ugenerali,
Wazanzibar tunaishia vyeo vya chini,
Kama vile si washirika wa jeshi hili?
Walipoulizwa bungeni wakasema hizo ni siri za Jeshi.
 
Hili jeshi la kibaguzi!
Watanganyika wanapean wenyewe tuu Ugenerali,
Wazanzibar tunaishia vyeo vya chini,
Kama vile si washirika wa jeshi hili?
Walipoulizwa bungeni wakasema hizo ni siri za Jeshi.
Tuambie ukweli, azanzibar hawapewi U-generali ?, inawezekana wanaogopa wakiwapa ugenerali watatumia mamlaka yao kuingiza masultani Zanzibar !!
 
Tuambie ukweli, azanzibar hawapewi U-generali ?, inawezekana wanaogopa wakiwapa ugenerali watatumia mamlaka yao kuingiza masultani Zanzibar !!
BADO MUNAWAOGOPA TUU HAO MASULTANI! Mbona CCm wanawakumbatia bado! Au kwa kuwa hawa CCM si hambi!
Basi 2020 Yuko sultani Mwinyi yuaja ,kama alivyokuwa Sultani Amani Karume 2000-2010
 
BADO MUNAWAOGOPA TUU HAO MASULTANI! Mbona CCm wanawakumbatia bado! Au kwa kuwa hawa wa CCM si dhambi!
Ok !,Basi 2020 Yuko sultani Mwinyi yuaja ,kama alivyokuwa Sultani Amani Karume 2000-2010
 
Hili jeshi la kibaguzi!
Watanganyika wanapean wenyewe tuu Ugenerali,
Wazanzibar tunaishia vyeo vya chini,
Kama vile si washirika wa jeshi hili?
Walipoulizwa bungeni wakasema hizo ni siri za Jeshi.

Kuna Mameja Jenerali wawili wa kizanzibari leo hii ninavyoongea ,wa kwanza Meja Jenerali Issa Nassor wapili Meja Jenerali Sheikh Sharif Othman
 
Kuna Mameja Jenerali wawili wa kizanzibari leo hii ninavyoongea ,wa kwanza Meja Jenerali Issa Nassor wapili Meja Jenerali Sheikh Sharif Othman
Sasa wewe unatowa siri za jeshi,maana Bungeni tulikataliwa kuambiwa,utadhani sisi si aia tunaopaswa kujiridhisha na kuondoa tetesi za kusema wazanzibari tunaonewa.
Ikiwa ni kweli! hatua nzuri!,jeshi sasa linajirekebisha na kuondoa baadhi ya matatizo ya Muungano.
kwa nia njema Nailipongeze JWTZ kwa kujitazama na kujiweka sawa,☑👍 salute
 
Back
Top Bottom