Ijue orodha ya majenerali wa JWTZ toka liundwe

We jamaa unaakili nzito Kama tembo Sasa ulitaka nirudie rudie maneno luteni jenerali meja jenerali hoja yangu ni wote waliofikia level za juu jeshini Kama hao wapo wengi hata yule rc wa kigoma aliyekuja na operation kikaka
Akili nzito kama tembo Aiseee noma snaa
 
Mayunga, Waitara Walikuwa Balaa

Ila Mwamunyange Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"

JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"
Walipigana na nani? Wapi?

Gorilla warfare ishapitwa na wakati muda mrefu sana, mambo ya kupigana kwa kuviziana yalishapitwa na wakati siku nyingi sana. Battle ground inakua scanned muda mrefu sana ile hide and seek imepitwa na wakati.

Jaribu kuongeza maarifa kwenye mambo ya vita achana na hadithi za kwenye kahawa.
 
Uzi huu Ni kwa ajili ya kuwatambua majenerali wote wa JWTZ toka iundwe mwaka 1964 tukitambua umahiri wao katika kuiweka Tanzania yetu salama

Mimi naanza na Hawa wachache ninaowakumbuka

Twalipo
Musuguri
Kiwelo
Mayunga....
Hujawaweka kimpangilio.

ISRAEL, RUSSIA na USA zinawaheshimu Sanaa wanajeshi wao walioshiriki vita mbalimbali za kitaifa hata kama ni zamani sana, wanaamini hakuna uzalendo kama huo.

Hata kwenye Application za kazi za ndani kuna mahala wanauliza Je wewe ni veteran wa vita yoyote zamani?

Sasa kama Mtu tangu anapokea madaraka mpaka anaondoka hakujatokea kashkash yoyote mpaka inafikia mabomu yanalipuka yenyewe kwenye arsenal utam apreciate kwa lipi kubwa sana? Kulinda Amani ambayo tayari ipo siku zote?

Hapo Jenerali aliyeonesha Ujemedari haswaa ni MAYUNGA a.k.a MTI MKAVU aliyepambana na Idd Amin.
 
Uzi huu Ni kwa ajili ya kuwatambua majenerali wote wa JWTZ toka iundwe mwaka 1964 tukitambua umahiri wao katika kuiweka Tanzania yetu salama

Mimi naanza na Hawa wachache ninaowakumbuka

Twalipo
Musuguri
Kiwelo
Mayunga
Makunda
Mboma
Mabeyo
Mwamunyange
Shimbo
Waitara
Muhidini

Endeleza list yako sio vibaya pia katika kunogesha tukapata matendo yao ya ushujaa katika utumishi wao.

Tuwaenzi hawa kama Israel inavyowaenzi majenerali wake wa IDF wote wako wikpedia sisi tunashindwa nini?
Muwe mnafanya kwanza utafiti mnapotaka kutandaza uzi, maana yake, cheo na wadhifa ni vitu viwili tofauti.

Nadhani hapa ulimaanisha wakuu wa majeshi.

Generali ni cheo na kuanza kuitwa jenerali huanzia unapotunukiwa cheo cha u brigedia.

Kuweza kuwataja majenerali wote wa Jwtz ni ngumu, sababu ni wengi mno mpaka upate orodha yao toka Makao makuu ya Jwtz.

Mfumo wa vyeo vya majeshi wanaoutumia Jwtz ni vya mfumo wa majeshi ya Kiingereza.

Kuna majenerali watano wa nyota (star generals) kuanzia brigedia jenerali,meja jenerali, luteni jenerali, jenerali na marshal.

Pamoja na kuvaa vyeo vyao mabegani, pia majenerali hutambulishwa kwa kubandikwa nyota za ujenerali kwenye magari yao kwa idadi kulingana na cheo, pia kwenye kofia za cap wavaapo vazi la fatique(combat dress).

Cheo cha marshal kwa jeshi la Tanzania ndiyo cheo cha mwisho na hakijawahi kuvaliwa na afisa yeyote katika historia ya Jwtz tangia kuanzishwa kwake.

Kwa mpangilio niliokwisha uainisha, toka cheo cha brigedia nyota moja, meja jenerali nyota mbili, luteni jenerali nyota tatu, jenerali ni nyota nne na marshal cheo cha mwisho jeshini ni nyota tano.

Mkuu wa majeshi wa kwanza baada ya Tanganyika Rifles na kuwa JWTZ 1964, nitataja jina moja moja kwa mpangilio kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho:

(1)Generali Sarakikya,(2)General Twalipo,(3)General Msuguri,(4)General Kiaro, (5)General Mboma,(6)General Waitara, (7) Generali Mwamunyange na (8)General Mabeyo.

Wengine bado wapo hai isipokuwa wawili waliokwisha tangulia mbele za haki, ambao ni (R.i.p)Gen. Twalipo na (R.i.p) General Kiaro.
 
namkumbuka pia yule jenerali aliyesema "kama taifa tumerudi nyuma miaka 50.." wakati tuko 2019 tena awamu ya 5

nazani anaitwa Jeneral Ulimwengu
 
Muwe mnafanya kwanza utafiti mnapotaka kutandaza uzi, maana yake, cheo na wadhifa ni vitu viwili tofauti.

Nadhani hapa ulimaanisha wakuu wa majeshi.

Generali ni cheo na kuanza kuitwa jenerali huanzia unapotunukiwa cheo cha u brigedia.

Kuweza kuwataja majenerali wote wa Jwtz ni ngumu, sababu ni wengi mno mpaka upate orodha yao toka Makao makuu ya Jwtz.

Mfumo wa vyeo vya majeshi wanaoutumia Jwtz ni vya mfumo wa majeshi ya Kiingereza.

Kuna majenerali watano wa nyota (star generals) kuanzia brigedia jenerali,meja jenerali, luteni jenerali, jenerali na marshal.

Pamoja na kuvaa vyeo vyao mabegani, pia majenerali hutambulishwa kwa kubandikwa nyota za ujenerali kwenye magari yao kwa idadi kulingana na cheo, pia kwenye kofia za cap wavaapo vazi la fatique(combat dress).

Cheo cha marshal kwa jeshi la Tanzania ndiyo cheo cha mwisho na hakijawahi kuvaliwa na afisa yeyote katika historia ya Jwtz tangia kuanzishwa kwake.

Kwa mpangilio niliokwisha uainisha, toka cheo cha brigedia nyota moja, meja jenerali nyota mbili, luteni jenerali nyota tatu, jenerali ni nyota nne na marshal cheo cha mwisho jeshini ni nyota tano.

Mkuu wa majeshi wa kwanza baada ya Tanganyika Rifles na kuwa JWTZ 1964, nitataja jina moja moja kwa mpangilio kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho:

(1)Generali Sarakikya,(2)General Twalipo,(3)General Msuguri,(4)General Kiaro, (5)General Mboma,(6)General Waitara, (7) Generali Mwamunyange na (8)General Mabeyo.

Wote wapo hai isipikuwa mmoja R.i.p General Kiaro.
Kwetu hatuna marshal. Tunaishia four star general. Hata hivyo pia marehemu Kiwelu Tumainieli alifikia kuwa jenerali ingawa hakuwa Mkuu wa majeshi
 
Leta source ya maana usituletee chai hapa

Back
Top Bottom