Ijue orodha ya majenerali wa JWTZ toka liundwe

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Uzi huu Ni kwa ajili ya kuwatambua majenerali wote wa JWTZ toka iundwe mwaka 1964 tukitambua umahiri wao katika kuiweka Tanzania yetu salama

Mimi naanza na Hawa wachache ninaowakumbuka

Twalipo
Musuguri
Kiwelo
Mayunga
Makunda
Mboma
Mabeyo
Mwamunyange
Shimbo
Waitara
Muhidini

Endeleza list yako sio vibaya pia katika kunogesha tukapata matendo yao ya ushujaa katika utumishi wao.

Tuwaenzi hawa kama Israel inavyowaenzi majenerali wake wa IDF wote wako wikpedia sisi tunashindwa nini?
 
BADO UMEPOTE
mara Meja , mara maluteni
wewe taja Ma General maana hata Muhidin Kimario nimemuona hapo unamchanganya Twalipo sasa Je Sarakikya?
We jamaa unaakili nzito Kama tembo Sasa ulitaka nirudie rudie maneno luteni jenerali meja jenerali hoja yangu ni wote waliofikia level za juu jeshini Kama hao wapo wengi hata yule rc wa kigoma aliyekuja na operation kikaka
 
Khaa sasa wewe ndio ukaanzisha Mada hii si tutajaza saver ya JF
ungeanza na aliye hai General Sarakikya
 
Mayunga, Waitara Walikuwa Balaa
Ila Mwamunyane Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"
JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"
'FIFA' ranking sio?
 
Alieleta huu uzi hajitambui. Eti kiwelo daaah hakuna mtu aliitwa kiwelo. Mods futa matapishi haya the thread sounds stupid
 
Mayunga, Waitara Walikuwa Balaa

Ila Mwamunyane Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"

JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"
Likilinganishwa na jeshi la lipi?Inamaana hata USA,wanakaa kwetu,basi sisi ni hatari,hakika kwa tulivyo baadhi yetu wa-Tanzania,timu yetu ya mpira wa miguu ingekua inacheza na hatujui imefungwa au haijafungwa,nadhani tungesema timu yetu ya mpira wa miguu ni timu bora kuliko timu yoyote tangu ulimwengu uumbwe,sijamaanisha tunayo tabia yakuji-mwambafai.
 
Back
Top Bottom