Orodha ya magazeti ya kufungia nyama Tanzania (The meat wrapping news papers)

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,598
3,671
Katika awamu hii ya tano kumejitokeza viherehere wasiokuwa na taluma na wala wasioheshimu taaluma ya habari na kufungua vijigazeti vyenye propaganda za kijinga. Pamoja na ukweli kuwa hata zile media zilizokuwa zinaheshimika siku za nyuma nazo kujigeuza kuwa za ovyoovyo siku hizi, lakini vijigazeti vifuatavyo ni vya kufungia nyama na wala watanzania msihangaike na upuuzi unaoandikwa humo.

1. Tanzanite ( Msiba)
2. Fahari yetu ( Msiba)
3. Jamvi la Habari ( Habibu Mchange)
4. La jiji ( Ngasa/ Dr. Abass)
5. The Echo ( Kiingereza cha ovyo)
6. The Observer ( kiingereza cha ovyo)
7. Tazama Tanzania

Hiyo ni orodha ya msingi kabisa wa vijigazeti uchwara vya kupuuza ambavyo kazi yake kubwa chini ya usimamizi wa Dr. Abass ni kuwaondoa wa tanzania kwenye Agenda za msingi, kutukana watu na kulet chuki kwenye jamii.
 
Hakuna anayenunua magazeti haya. Je yanajiendeshaje? Most likely answer, yanafadhiliwa/yanalipiwa na CCM, au serikali? How? Huko mbele itajulikana maana lazima kuna mahali hela inatoka!
Sasa ushaona mpk msemaji wa gogoni ana lake hpo, jibu rahis ni kwamba mpunga unatokea magogoni kuyapa back up na hayo mengine, inchi ina viongozi wabovu haijapata kutokea tangu uhuruuuuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli mkuu kuna gazeti linaitwa Tanzanite ni gazeti la Hovyo Hovyo eti leo April 11,2019 lina kichwa cha habari " CAG Ahaha kujinasua" sasa anajinasua kwa lipi? Wakati waliosema hawafanyi nae kazi wamekula matapishi yao? gazeti la kufungia samaki.
 
Na kila kukicha wanazidi kununua vyombo vya habari
Hawakutosheka na hilo,Mmoja wao akajikuta anabwatuka kuwa “walevi wapumbavu ndio wanaopata umaarufu na kuwekwa Front Page”‍♂️
 
Kuna haya mawili nimesoma ikabidi nicheke tu,magazeti ya kufungia maandazi
tanzanite-dondosha-magazeti-2-777x950.jpeg
jamvi-la-habari-magazeti-magazeti-dondosha-776x950.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom