Orodha Madiwani wa CHADEMA Rombo waliojimilikisha mashamba ya wananchi

usinijibu hivyo

JF-Expert Member
Nov 7, 2017
248
327
Hii leo imebandikwa ofisi ya kijiji karibu na nyumbani kwetu.

Mkisikia wananchi wamegombana na watumishi wa serikali wakija kugawa mashamba haya msitu wa 'Nusu mail' Msishangae

Watumishi na madiwani wamejigawia wakati wananchi hawana pakulima

Huu msiba
Alafu madiwani wa upinzani tuliowaamini kama wakombozi wetu wanatuangusha
8b30a99d19fa6bdb8f8d30ddfec55df3.jpg
 
pamoja na hivo mabaya lazima yasemwe na wananchi waelewe viongozi waliowachagua ni wa aina gani
 
Back
Top Bottom