Uchaguzi 2020 Orodha kamili ya ambao hawatarudi Bungeni 2020 hii hapa

Ng'ombe nyingi sana humu. Hivi unawasemaje akina Tiba, Muhongo, Makamba, Bashe, Maghembe, Lusinde kwamba siyo wasomi? Poropoganda za kijinga kabisa hizi!
Hapo aliye haribu hiyo list ni lusinde wengine hapo ni wasomi
 
Jamani tukiwa katika mapimziko nimeleta bandiko hapo juu. Wewe unaona nani harudi na kwasababu gani?. Mimi hawa hapa

1. Nape Nnauye
Huyu wengi wanachukia kwasababu ya majigambo ameikomboa ccm. Ushauri asipoteze muda hatarudi.

2. January Makamba
Kama Nape tu

Lete wa kwako hapa
 
joseph musukuma ndiye mbunge pekee mwenye uhakika wa kurudi tena bungeni kwa sababu anaendana na mdundo wa serikali ya awamu ya 5.

mwenyekiti akisema wananchi walale mchana basi yeye huwa wa kwanza kuunga mkono amri kuliko makonda
 
IMG_5920.JPG
 
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-

1. Mh Nape

2. Mh. Ngeleja

3. Mh Kitwanga

4. Mh. Lusinde (Kibajaji)

5. Mh. Maghembe

6. Mh. Bashe

7. Mh. Nkamia

8. Mh. Sadifa

9. Mh. Simbachawene

10. Mh. Muhongo

11. Mh. January Makamba

12. Mh. Anna Tibaijuka

14. Mh. Kessi Ally

15. Mh. Badweli

Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!

Mathematician and Computer Scientist Charles Kitwanga nae kilaza?? Dunia ina mambo sana hii.. Unakuta muandika uzi form four alipata point 32.. Prof Muhongo nae kilaza?Keyboard inaficha mengi 😂😂
 
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-

1. Mh Nape

2. Mh. Ngeleja

3. Mh Kitwanga

4. Mh. Lusinde (Kibajaji)

5. Mh. Maghembe

6. Mh. Bashe

7. Mh. Nkamia

8. Mh. Sadifa

9. Mh. Simbachawene

10. Mh. Muhongo

11. Mh. January Makamba

12. Mh. Anna Tibaijuka

14. Mh. Kessi Ally

15. Mh. Badweli

Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!
No.14 =100%
 
Back
Top Bottom