Orjino Komedi...chuki ni kwa sababu ya CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Orjino Komedi...chuki ni kwa sababu ya CCM?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ng`wanakidiku, Mar 15, 2012.

 1. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Je ni wafuasi CDM ndiyo wanaowachukia hawa vijana? Mi naona kama kiwango chao ni kizuri na ni wabunifu.
  Je wewe mtizamo wako ni upi? Tuache siasa!
   
 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  What is this?
  Sijaelewa unataka kusema nini hapa au unafanya opinion poll!??!!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kwani wanachukiwa????
  Au kuna ujumbe unataka kuufikisha?
   
 4. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa mtizamo wangi ni kwamba vijana kipaji wanacho cha ubunifu. Maana ni rahisi kuwaelewa wanachoongelea, hata kama umetoka kazini umechoka.
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  tatizo lao wanajiona wamefika na wanamadharau flani.Ushauri wangu ni kwamba sasa hivi ni mda wao kuwekeza,wakishajisahau itakuwa ngumu kufanya vizuri kama kipindi kilichopita
   
 6. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nani kasema wanachukiwa? Sina habarii
   
 7. S

  Skype JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mimi siwachukii ila nawaasa waache tabia ya kujikomba kwa wanasiasa.
   
 8. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hv bado wapo wale jamaa??
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  ovyo tu,
   
Loading...