Orion Wa Tabora hotel katutoka

Mzee wa ngano

Senior Member
May 3, 2012
184
54
Ndugu zangu wakazi wa Tabora hotel au wale wageni waliokuwa na mazoea ya kufika na kulala Tabora hotel au kufanya starehe zao
 
Daaah, pole sana mkuu, maana umeshindwa hata kuandika ili ueleweke, huyu mzee kipi kimechukua roho yake
 
Poleni sana wafiwa mleta mada nahisi kuna jinsi msiba umemwingia ameshindwa kumalizia post yake.
 
Nilikuwa Tabora last week na nilikuwa pale Orion.
Nilimfahamu kiasi huyu mzee, alikuwa akiumwa kwa muda mrefu lakini hakuwahi kukubaliana na ushauri wa madaktari kila walipompa medical and treatment condition, kwa kudai kuwa yeye ni 'mungu' na alipenda kujitambulisha kuwa yeye ni 'mungu'.
 
Ndugu zangu wakazi wa Tabora hotel au wale wageni waliokuwa na mazoea ya kufika na kulala Tabora hotel au kufanya starehe zao

Kwa jinsi ya kibinadamu nasema poleni sana wafiwa bali kwa jinsi ya rohoni, hapo kwenye red; dah! ana kesi ya kujibu huko aliko. Kama hizo ndio zilikuwa dili zake hakika mbele ya kiti cha enzi jina lake halimo katika kitabu kile.
 
Leo orion kazikwa rasmi!amesumbuliwa na maradh kwa muda mrefu.kipindi cha uhai wake alipenda kuitwa "mungu"ili atoe misaada!
 
Daaah, pole sana mkuu, maana umeshindwa hata kuandika ili ueleweke, huyu mzee kipi kimechukua roho yake
Mwanangu nilikuwa nataka niwape carrent news kuwa muda ule tulikuwa makaburi ya wahindi tunazika. Mambo yakaingiliana ndiyo maana ikawa hivyo. Bac bana jamaa tumemlaza Isevya kando ya kaburi la baba yake.
 
Back
Top Bottom