Orijino Komedii

Bollo Yang

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
440
50
Hawa jamaa waendelee tu kuigiza zile nyimbo za injili wakijaribu kuiga za kiislamu patakua hapatoshi..wanaweza wakasomewa albadili
 
hahaha kwa jana lakini kidogo naona kama wamejitahidi ila wapunguze kuongea sana ..na mambo mengine wamezidisha utoto zaidi..
Punguzeni maongezi tunahitaji vitendo
 
Waende zao huko,nani kawaambia comedy inamaana ya kuiga vya watuu,embu watutolee ujinga wao,kama hawajaridhika na walichopata wasitegemee kupata tena,na hawatamuambukiza mtu ujinga wao!!
 
Safi sana.

Maana maongezi mengi na muda waenda na dhani wanahitaji kuenda na muda wanapo andaaa hizo video script zao na kupanaga matangazo yao vyema basi
 
Waende zao huko,nani kawaambia comedy inamaana ya kuiga vya watuu,embu watutolee ujinga wao,kama hawajaridhika na walichopata wasitegemee kupata tena,na hawatamuambukiza mtu ujinga wao!!

Haaa kumbe nawe huwa waangalia sasa unaposema huwataki na waende zao kwanini waendelea kuwa tizamaaaa??
 
Hawa jamaa waendelee tu kuigiza zile nyimbo za injili wakijaribu kuiga za kiislamu patakua hapatoshi..wanaweza wakasomewa albadili
Unadhani kwenye nyimbo za kiislamu wataiga nini............. au kuvaa ijabu.......???????
 
Hawa jamaa waendelee tu kuigiza zile nyimbo za injili wakijaribu kuiga za kiislamu patakua hapatoshi..wanaweza wakasomewa albadili
Mimi ni mkristo na nimempokea Yesu (mlokole)...lakini kwa kweli sibarikiwi kabisa na hii thread ambayo ina mwelekeo wa ku-undermine mitizamo mingine. Ukristo ninaujua mimi hauko hivi. Naomba Mungu awape neema mods ya kuliona hili na kuiondoa hii thread yenye kutaka kuleta makwazo yasiyo ya lazima. Praise God!
 
Hawa jamaa waendelee tu kuigiza zile nyimbo za injili wakijaribu kuiga za kiislamu patakua hapatoshi..wanaweza wakasomewa albadili
..............mwalimu hebu waambie wanafunzi wako waache kupiga kelele,.....hakika hawa wakinyamaza mawe yatapiga kelele.........we waache hivo hivo maana imeandikwa kila ulimi utakili jina la Bwana Yesu.....watakutana na mwenyewe huko huko nao watakuwa wamoja katika zizi la wanakondoo
 
mkuu **** Yang hebu nifafanulie vizuri.
Hilo onyo limetolewa na Waislam au wewe ni Mwislam unawapa hilo onyo?
 
..............mwalimu hebu waambie wanafunzi wako waache kupiga kelele,.....hakika hawa wakinyamaza mawe yatapiga kelele.........we waache hivo hivo maana imeandikwa kila ulimi utakili jina la Bwana Yesu.....watakutana na mwenyewe huko huko nao watakuwa wamoja katika zizi la wanakondoo
mbona mikwala imekuwa mingi hata nashindwa kujua mnazungumzia nini, udini au komedi???????
 
oh maimai!!! once zey try this watajua y wrestling inatolewa onyo kua do not try this at home.
ila they re not comedian any moo.wao wanaigiza,naona hawako creative tena. wanangoja jambo litokee ndo walivalie njuga.wamezidi pia kujifanya madada sana iiiit s toooo or foooo mach bana.

nadhani mizengwe inafunika manake kwa kweli wanachekesha.
 
dah umenikumbusha zilipendwa Nshasahau hata Cheneli walipo..
Utoto Ujinga Upuuzi u name it... maana nzima ya Comedy haipo tena
Aisee muosha huoshwa...
WALIOFULIAAAAAAA
 
hahaha kwa jana lakini kidogo naona kama wamejitahidi ila wapunguze kuongea sana ..na mambo mengine wamezidisha utoto zaidi..
Punguzeni maongezi tunahitaji vitendo
naskia ile nyimbo ilikuwa dongo lingine kwa Mengi baada ya kuanzisha mchakato wa kuanzisha Ze comedy wapya wa EATV...
 
Back
Top Bottom