Orijino komedi: Mnaganga njaa kutangaza propaganda za magamba?

Eti wanajiita orijinoK, wakati kule kaskazini kwa akina apollo mtu akikuita "K" pigana mpaka ufe. Hawaja kosea lakini, ni ma K*** wa ukweli, ila hawajitambui. Wawa ue magamba kwani hawaogopi kukimbizwa ka mkurugenzi wao. yule alietoka bbc.
 
Hivi nyie wote kumbe bado mnafuatilia kipindi hiki ? Bac bado wako juu mi binafsi washanchosha kitambo sina taim nao hata kidogo polen mnao endelea kuwafuatilia.
 
Hapa naona mna personal interest, kuna CCM na Original Commed. Tuwe specific siyo kuchanganya mambo.
 
Siwashangai hata kidogo!tukililia ukombozi wa nchi na kusema vijana ndo wana dhamana ya kulikwamua taifa hili katika kiza kinene wenzetu wanatumiwa kuliangamiza taifa!niliwaona igunga wanakata viuno kama shakila na majezi yao ya njano nikashangaa ila vijana wenye uelewa tunawadharau na ipo siku itafika na tutawahukum kwa kushiriki kuliangamiza taifa!zao zipo we waache unless wahame nchi!
 
baada ya kuhamia tbc hawa jamaa mm nilitegeamea kitu kama hiki
 
Emmanuely angalieni future yenu mbele ya jamii mnaanza kupoteza thamani yenu kwa kujiingiza kwenye siasa za maji taka si kila mtu anaewapenda anaipenda CCM HUU NI USHAURI WA BURE" MULOLAGE KILAO MWIVENZA KWINA"
 
siku zote tamaa za mda mfupi majuto yake huwa ni ya mda mrefu! angalia kazi yenu ni nini na mmewalenga akina nani na itikadi zao ni zipi, je wote wana itikadi sawa?kama mmewalenga ccm ambayo inaendeshwa na kodi za wanachi na kufanya kazi ya chama kwa kipindi hiki sawa angalia baada ya mda mfupi kaka mambo yasijekuwa mabaya na msije kuwa kama wanawake wa baa wanaoangali meza yenye bia nyingi! ni ushauri wa bure make haya tushaoteshwa kacheki zambia kinachoendelea!
 
Kaka hao ndio TBC ukishindwa kuendana na falsafa yao wanakutapika fasta kamaMpwa wetu Tido mhando
 
Naona hawajielewi wao wenyewe na maana halisi ya neno commedy. Walisha panda mbegu ya kupiga kampeni za ccm kwa hiyo wanafanya muendelezo wake. Ndo njia walio chagua na wanalipwa kwa kufanya hivyo. Wahakikishe malipo yao yanaendana na kiasi cha madhara wanayoyasababisha kwa Taifa
 
Zamani ilikua ikifika siku ya alhamisi jioni foleni hakuna,,siku izi hakuna anaestuka kama leo kuna komedi.

Hausigelo wetu hata haangalii tena kama zamani.
 
mwana wa nyoka ni nyokakule eatv
alhamis watu walikuwa wanatoroka kazini ajili
ya hawa jamaa kwasababu walikuwa
wanadare to talk openly
na wanauponda upupu wa
serikali bila wasiwasi saa imekuwa'
kinyume chake badala ya kuponda upupu
wanashabikia upmbav.vijana angalieni
mllipotoka eatv ml;ikuwa almasi mkasainishwa mkataba mnono
sababu eatv iliwakuza kisanii mkamtukana baba mengi
sasa hamna mvuto mkitoka hapo ni kijijini mwanzo mwisho kama mtaendeklea na ujinga wenu




elewa alumradi wanaganga njaa zao.

Hivi sasa wanaendelea na kipindi chao ambapo tayari wameonyesha tukio la yule DC mchakachuaji kule Igunga katika muktadha unaompendelea moja kwa moja. Wametaka ieleweke eti DC alikuwa kwenye mkutano wa kuratibu amani wilayani hapo na "wahuni" wa CDM walimvamia tu pasi na sababu.

Ninaandika haya nikielewa kuwa haikuwa sahihi kwa wale wanaodaiwa kuwa mashabiki wa CDM kumtia kashikashi DC yule na wakati huo huo nikiyalaani kwa nguvu zote matangazo haya yanayokusudia kuwadanganya wananchi.

Nailaani TBC1 inayowatumia vijana wenye njaa kuwapotosha wananchi wasioelewa.

Nawalaani vijana wanaotumia vipaji vyao isivyo. Namlaani msomaji anayekubaliana na upuuzi huu.
[/QUOTE]
 
bora brother mhando
cv safi ,hawa wakina masanja
wakitoka hapo wanakwenda bonde la msimbazi
kulima mbogamboga
walimkashf mengi,wakaona tbc maaaaali



WAKASAHAU USITUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO
KIKOWAPI SASA WALICHOKUWA WANAJIDAI NACHO?



Kaka hao ndio TBC ukishindwa kuendana na falsafa yao wanakutapika fasta kamaMpwa wetu Tido mhando
 
Yaani basi tu!wote ni maubwabwa wa ccm!shenz zao
Watu wengi siku hizi hawaangalii kabisa commedy ya TBC,hata watoto nao siku hizi hawana interst nayo kabisa,zile enzi za watu kurundikana kwenye mabaa kuangalia commedy zimeisha,hawana mvuto kabisa na sabau ni hiyo ya kuegemea chama fulani wakati wanajua asilimia 80 ya vijana si wapenzi wa CCM na vijana ndio waliokuwa waangaliaji wakubwa wa commedy.Mimi ndio kabisa nina zaidi ya mwaka sijaangalia hicho kipindi na sidhani kama itatokea tena,bora kuangalia futuhi kwani wao wana mvuto kidogo.
 
yani bado mnawaangalia wale wasaliti....halafu naona mda si mrefu kikundi kitakufa
 
Bahati yao ( nzuri au mbaya) hawapiti humu Jamvini. Hii mishale ya moto ingewarekebisha sana.
 
The Orijino Comedi ni watumwa wanaofanya kazi ya Bwana wao, hatuna haja ya kuwaandama on individual circumstances. Tunajua wanawatumikia ccm. Lazima tukubali kuwa ukiwa ndani ya ccm hata akili yako inadumaa

aiseee truuu..e
 
Back
Top Bottom