Original Samsung Champ 2 DUOS (c3332) Mobile Phone for Sale at 220,000

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Nauza Original Samsung Champ 2 Duos model no c3332 kwa bei ya 220,000 tu. Simu Ni mpya kabisa, haijawahi tumika, iko katika original Box yake na Inatumia Line Mbili. Ina touch screen, very stylish, unaweza kutumia fb, tweeter na mtandao kwa ujuma, ina camera na mengine mengi. Imenunuliwa Dubai Kwenye Duty Free Shop ya Airport.
Kwa mawasiliano Piga namba 0714881500. NB: Ukinipm ntachelewa kujibu kwani sina internet kiganjani.
KWA MAELEZO ZAIDI JUU YA HII SIMU PLEASE click HERE Samsung Champ 2 - OVERVIEW | SAMSUNG
champ2.jpg
 
Kaka nimejaribu kuifuatilia huko SUMSUNG sijaona kama ni dualSIM, au ziko za aina mbiili mkuu?
 
Kaka nimejaribu kuifuatilia huko SUMSUNG sijaona kama ni dualSIM, au ziko za aina mbiili mkuu?

Zipo za aina mbili mkuu. Ukigoogle search utapata info zote. Imenunuliwa kwenye duty free shop dubai int airport, na risiti ninayo. Ina traceable serial no nk. Kama uko dar nipigie tukutane uione. It's a very nice little phone, its just a shame that my thumbs are a bit too big for it. Siwezi kutype vizuri. Otherwise I would have kept it.
 
Thanx Brother!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom