Original Movies in Dar

Ex Spy

JF-Expert Member
Jan 15, 2007
213
1,725
Wakuu,

Nimefika jijini majuzi tu, nimekumbana na DvD za kichina nyingi tu. Nahitaji kupata Original DvD za Series kama 24, Alias, Prison Break, 2012 (movie), Lost, ambazo nitaangalia zikiwa katika High Definition Quality.

Naamini ndani ya JF kuna wadau ambao mnajua wapi naweza kuzipata. Nahitaji ziwe Original pliz, bei sio tatizo kabisa.

My email - afande@jamiiforums.com
 
Nenda Game kule mlimani city, au pia kuna duka (nimesahau jina, samahani) kule Mayfair plaza. Labda kuna na mengine but I think hizi sehemu 2 ndizo the closest I ever came to original DVDs while in Dar.

Pia ukumbuke kuwa movie kama 2012 ndio kwanza imetoka miezi 3 iliyopita, haijatoka bado kwenye DVD

Best
 
Mkuu mhandisi thanks kwa hiyo ya Mlimani City, nitaenda pale Game leo leo. Nitakupa f/back. I will drive down there a few seconds to come.

MayFair wanafungua Jumapili? Am serious, nahitaji Original DvDs, sipendi vitu fake mimi. 2012 na Avatar zitakuwa hazijaingia kwenye soko Bongo? You must be kidding me.

Again, shukrani sana
 
Si kwamba hazijaingia kwenye soko la Bongo tu, hizi movie huwa zikitoka wanatoa margin fulani kabla hazijawekwa kwenye DVD. That's if you really want the original. Ukumbuke kuna movie theatres huku nchi za magharibi bado movie kama Avatar zinaoneshwa, sasa zikitoka kwenye DVD (officially) itashusha mapato katika majumba ya sinema.

All the best
 
Mkuu mhandisi thanks kwa hiyo ya Mlimani City, nitaenda pale Game leo leo. Nitakupa f/back. I will drive down there a few seconds to come.

MayFair wanafungua Jumapili? Am serious, nahitaji Original DvDs, sipendi vitu fake mimi. 2012 na Avatar zitakuwa hazijaingia kwenye soko Bongo? You must be kidding me.

Again, shukrani sana
Mazee inaonekana wewe ni mtaalam wa bootlegs
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom