Mmmh hawa jamaa leo wamenishangaza sana na nimeshindwa kuelewa vijana kama wale ambao taifa linawategemea kutoa tathmini ya uchaguzi igunga ktk hali ya upendeleo tena mkubwa kwa CCM,.Dah jamaa ni wajinga sana kwanin wanauza utu wao kijinga hvi?

Kweli we mwanzisha mada ni kilaza...katika siku zote nilizoangalia Zecomedy leo ndio wamewapendelea mno CHADEMA, na sio kuwapendelea wameongea fact tupu, wamewapa kubwa CCM kwamba wamechakachua kura za CDM kwani tangu mwanzo kila box ni kura za "magwanda" means CDM ila baadae walivyoanza kuchakachua, aaagh " Box zote..tawala"...means CCM...sasa hapo mkuu utasemajje Zecomedy wameipendelea CCM, acha zako bana!!
Bgup zecomedy
walah kaka nakuambia cwez kujidhalilisha kwa kuishabikia ccm,kwanza kuishangilia ccm ni uuaji mkubwa hebu fhkiria ndugu ze2 vijijin wanavyoteketea kwa kukosa dawa,maji,chakula wkt 2naamin nchi ye2 inaweza kugawa vyote hvyo?.ni aibu sana kwa kijana kushabikia ccm,.aibu kwa kwel.ndugu yangu wale ni kazi kama wanavyofanya wengine wale wapo kikazi zaidi hii nchi kila mtu anangalia masilahi yake ndio mana hakuna mzalendo je we ccm wakikualika kwenye tukio alafu wakasema watakupa mkwanja wa mana hutauzulia?wakati kila leo we unatafuta pesa