Original comedy wanapewa nini na CCM?

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
966
Mmmh hawa jamaa leo wamenishangaza sana na nimeshindwa kuelewa vijana kama wale ambao taifa linawategemea kutoa tathmini ya uchaguzi igunga ktk hali ya upendeleo tena mkubwa kwa CCM,.Dah jamaa ni wajinga sana kwanin wanauza utu wao kijinga hvi?
 
shule kaka shuleeeeee....mtu yeyote aliyekwisha jitambua hawezi kushabikia ubazazi wa ccm kama hayuko kwenye pay roll yao
 
Kaka wasikuumize kichwa... Wanaganga njaa hao... Ni umaskin 2 n' nothn, inside they knw da truth... Jus lyk otherz hr in Jf eg. Mwita25, faizafox...
 
Mmmh hawa jamaa leo wamenishangaza sana na nimeshindwa kuelewa vijana kama wale ambao taifa linawategemea kutoa tathmini ya uchaguzi igunga ktk hali ya upendeleo tena mkubwa kwa CCM,.Dah jamaa ni wajinga sana kwanin wanauza utu wao kijinga hvi?

ndugu yangu wale ni kazi kama wanavyofanya wengine wale wapo kikazi zaidi hii nchi kila mtu anangalia masilahi yake ndio mana hakuna mzalendo je we ccm wakikualika kwenye tukio alafu wakasema watakupa mkwanja wa mana hutauzulia?wakati kila leo we unatafuta pesa
 
NDO MANA COMED YA SASA YA TBC HAINA MVUTO KM ILE ya EAST AFRICA hawa ni wake wa 2 wa Ccm
 
Mmmh hawa jamaa leo wamenishangaza sana na nimeshindwa kuelewa vijana kama wale ambao taifa linawategemea kutoa tathmini ya uchaguzi igunga ktk hali ya upendeleo tena mkubwa kwa CCM,.Dah jamaa ni wajinga sana kwanin wanauza utu wao kijinga hvi?

Hao jamaa bado una muda wa kuwaangalia?! Toka wamehamia CCMBC wamekua mapimbi kabisa!!!
 
Yaani hakuna watu wajinga kama hawa jamaa!!!yaani wanaboa balaa!!!Wahuni wakubwa
 
Njaa jamani. Hawana jinsi kwani wasipofanya hivyo wanavyofanya watakula wapi?
 
Kweli we mwanzisha mada ni kilaza...katika siku zote nilizoangalia Zecomedy leo ndio wamewapendelea mno CHADEMA, na sio kuwapendelea wameongea fact tupu, wamewapa kubwa CCM kwamba wamechakachua kura za CDM kwani tangu mwanzo kila box ni kura za "magwanda" means CDM ila baadae walivyoanza kuchakachua, aaagh " Box zote..tawala"...means CCM...sasa hapo mkuu utasemajje Zecomedy wameipendelea CCM, acha zako bana!!

Bgup zecomedy
 
Magwanda mbona mwapingana wenyewe kwa wenyewe? Sisi yetu macho tu! Tehe tehe tehe
 
Mi nawashauri wasijiite tena ze comedy wajiite majungu show maana wamepoteza maana halisi ya comedy sasa wamebaki na majungu tu....anyway hii ndiyo tanzani na hawa ndiyo watu wake bado wanamageuzi tuna kazi sana
 
ndugu yangu wale ni kazi kama wanavyofanya wengine wale wapo kikazi zaidi hii nchi kila mtu anangalia masilahi yake ndio mana hakuna mzalendo je we ccm wakikualika kwenye tukio alafu wakasema watakupa mkwanja wa mana hutauzulia?wakati kila leo we unatafuta pesa
walah kaka nakuambia cwez kujidhalilisha kwa kuishabikia ccm,kwanza kuishangilia ccm ni uuaji mkubwa hebu fhkiria ndugu ze2 vijijin wanavyoteketea kwa kukosa dawa,maji,chakula wkt 2naamin nchi ye2 inaweza kugawa vyote hvyo?.ni aibu sana kwa kijana kushabikia ccm,.aibu kwa kwel.
 
Wamenikeraa mimi kweli njaa sio nzuri wameshamezeshwa vidonge vya kijani vyenye sumu.
 
Back
Top Bottom