Kwa muda mrefu nimeacha kuangalia vipindi vya origino komedi aka kina Joti kwasababu nilihisi wamekosa mvuto. Sasa leo nimepita kuangalia kidogo nikaona kama wamekuwa makada wa ccm vile. Cjui ndio hivyo au mtazamo wangu tu!
Usicheze na njaa.Kwa muda mrefu nimeacha kuangalia vipindi vya origino komedi aka kina Joti kwasababu nilihisi wamekosa mvuto. Sasa leo nimepita kuangalia kidogo nikaona kama wamekuwa makada wa ccm vile. Cjui ndio hivyo au mtazamo wangu tu!
CDM hovyooo kweli kwa hyo ulitaka wawe Chadema badala ya CCM?. Mtahaha sana yan kila anaekuwa against na sera za chadema basi nh CCm kwanin asiwe cuf?
Supposing ni members wa CCM then what? Inaelekea wangekuwa CDM wewe roho yako ingekuwa kwatuu! Acha ushamba na intolerance yako
Ukisha jiunga na CCM uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo unatoweka ghafla.Supposing ni members wa CCM then what? Inaelekea wangekuwa CDM wewe roho yako ingekuwa kwatuu! Acha ushamba na intolerance yako
wewe nani amekwambia mtoa mada ni chadema, au kila anaye kuwa against CCM ni CDM...
Ukisha jiunga na CCM uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo unatoweka ghafla.
Supposing ni members wa CCM then what? Inaelekea wangekuwa CDM wewe roho yako ingekuwa kwatuu! Acha ushamba na intolerance yako
Ukisha jiunga na CCM uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo unatoweka ghafla.
Supposing ni members wa CCM then what? Inaelekea wangekuwa CDM wewe roho yako ingekuwa kwatuu! Acha ushamba na intolerance yako
CDM hovyooo kweli kwa hyo ulitaka wawe Chadema badala ya CCM?. Mtahaha sana yan kila anaekuwa against na sera za chadema basi nh CCm kwanin asiwe cuf?
Kama ze comed ni ccm nawe hutaki fanya uwezalo warud ktk chama upendacho.Acheni ujinga wako kama wanakuboa ni wewe kaangalie futuhi au wale wa EATV.Acha ushabiki wa kijinga!