Origin of life on earth (Mwanzo wa maisha hapa duniani)

Kati ya maswali ambayo ni magumu kuyajibu ukiiulizwa hili ni mojawapo, maisha yalianzaje duniani mpaka kuweza kutokea kwa aina mbali mbali ya viumbe ikiwemo na binadamu, (diversity if Life).

From Scientific Angle, haya ni maswali ambayo yameweza kufanyiwa utafiti na kupelekea kupatiwa majibu katika theorized form, hopefully huko mbeleni baadhi pia wanaweza kuja na more strong evidence katika ku'support hizi Origin of Life theory!

So tuanze na swali, kiumbe yeyote ambaye anaishi Biologically na Chemically ametengenezwa na nn!!!?
Simple answer ni DNA,
Tukienda deep zaid whats the Chief constituent of DNA ni Protein (Amino acid)
Swali la msingi linakuja whats the building block of Amino acid ni mchanyato wa Carbon, Hydrogen, Oxygen, Nitrogen na other elements kwa kiwango kidogo kama Phosphorus na Sulphur.
(Hizi ndo chemicals ambazo zimetengeneza Animal and Plant bodies)

Kwa maana nyingine Life ilianzia kwenye supu ya elements mbali mbali ambapo ziliweza kuuanganika katika mazingira yaliyokuwa sahihi (desirable conditions) na kuweza kutengeneza simple amino acid (Protein) then DNA ambapo ndio building block of Life.

So next ukisikia scientists wanaongelea wanatafuta evidence of life katika Exo Planets (Sayari za mbali kama Mars!) haimaanishi wanatafuta exactly viumbe, bali wanatafuta elements au chemicals ambazo ni building blocks of life kama hizo ambazo nimezieleza hapo juu, Ziweze ku'suggest either life existed or it might exist in future.

Wanasayansi wameweza kuunganisha hizo elements kimaabara na kutengeneza amino acid ambayo ni Building Blocks of life, so wanaamini kwamba ili kuweze kuwa na possibility of life lazima hizo chemicals ziwe around in favourable condition
so kama Out of Nothing, life iliweza kutokea dunian so may be it can emerge as well in other distant planets provided that the conditions are Right.

So viumbe wote tunaoishi (wanyama na mimea) tunatengenezwa na the same building block of life of chemicals, zinazopatikana katika Cosmological Dust ambazo zipo katika maeneo mbalimbali katika ulimwengu (universe).

Na mara nyingine katika research ya Vimondo (mateorites) zinadondoka hapa duniani kutokea sayari za mbali pia zina'suggest kuwepo kwa hizo building blocks of life, ndio maana baadhi ya wanakuja na possibility kwamba inawezekana hii life ya hapa duniani, imeletwa kutoka exo planets za mbali kuja kuanzisha life hapa duniani.

Kwa kifupi ningeweza kusema kutokea kwa Life duniani ni probability za kisayansi zilizopelekea Mazingira yalikuwa sahihi na hivyo Life kutokea,

So from the same note there is possibility of life elsewhere if the probable condition is Right kama ya hapa duniani (Earth like planet).
Kitu cha msingi ni kuwa Open minded hopefully, newly launched James Webb Space Telescope itakuja na interesting data zinazoweza ku'suggest existance of Life ktk distant planets!

Share your curiosity ideas!
Karibuni...!
Sawaaaaaa,hizo DNA na Amino Acid zilitokea wapi?
 
Hiyo miunganiko ya maada ilitokea kipindi cha favourable conditions more than 3.8 billion years ago, kwan kipindi hicho dunia haikuwa favourable hata kwa maisha ya kawaida ya sasa,
lakin ndo kipindi ambacho kilitengeneza first simple life, primitive single cellular bacteria (ambapo evidence ya hawa bado wana'exist katika extreme conditions)

kwa maisha mafupi ya binadam (very short human life span) hauwez ku'notice, ni kama vile ambavyo hatuwezi ku'notice on going Evolutions ambayo iliweza kufanya diversity ya viumbe mbali mbali,

Ikumbukwe viumbe wote wameanzia kwenye same origin which is simple celullar life!
Uongo uliochanganyika na ujinga,
Huo muunganiko wa maada,chanzo Cha maada hizo kilitokea wapi?
Na unatuthibitishiaje uwepo wa au kitu chochote Kwa kipindi hicho Cha miaka zaidi ya bilioni 3.8 iliyopita?
 
Mzehe nikuulize wanasayansi wanatumia mbinu zipi kutafuta life nje ya dunia???
Ukweli ni kwamba life wanayoitafuta ni intelligent life kama au zaidi yetu sisi binadamu ..hamna mwenye interest ya kutafuta amoeba huko europa Jupiter.
Hizo unicellular maybe wanazitafutia mwezini na mars tu ila sio nje ya hapo.

Then kuhusu hizo building blocks, ulishawahi kujiuliza kuwa kwani lazima life ianze na hizo elements??Huenda sehemu nyingine ya ulimwengu kuna aina zingine za atoms&molecules ambazo zimetengeneza other forms of life

Nakubaliana na wewe kuwa huenda nje ya hapa kwetu kuna aina zingine za atom na molecules ambazo zinatengeneza maisha ya viumbe hai wengine kwa mazingira ylanayoshabihiana na sehemu husika.
Na huenda viumbe hivi haihitaji oxygen ili kuweza kuishi.
 
Usiende mbali huko..
Mwaka 5000 Egyptian civilization ilikuwa live...waEgypt walikuwa wanaendelea na maisha kama kawa..

Hadithi nyingi za bible zimetoka kwenye hekaya za Egyptian.
egypt hawakuendelea kihivyo nao waliachiwa tu hivyo vitu
 
Back
Top Bottom