Organized Crime Rings za Tanzania zinafanyaje kazi bila kufumuliwa?

Halafu ukiskiia wanasiasa wanavyongelea Natioanal ID kama mtatuzi wa mataozzo fulani sugu ya kiusalama unashindwa kushangaa kama hawa watu kweli wako well informed. au wamekaririshwa. Mmoja alisema natinal ID itasadia kwenye Kodi. mhhh

sitashangaaa kusikia maofisa waandamizi walisema hata hizi National ID ziatasaidia kukabiliana na UFISADI
 
Mwanakijiji,
Tanzania ya leo ni hatari siwezi kusema kwamba tuna makundi ya kihalifu kama vile mafia, tatizo linalotukabili ni kwamba tunawasiasa ambao wao ni hatari kuliko hata hayo makundi ya kihalifu tunayoyaoengelea; wao wanachofanya ni transfer of wealths kutoka mikono ya serikali kwenda kwenye mikono yao; wanachofanya ni kutunga sheria hafifu wakiwa na malengo maalum; mfano dhahiri ni mikataba iliyojitokeza; hata kama wewe si mwanasheria unajua hapo kilichofanyika ni wizi wa maksudi kwa kutumia mapungufu ya sheria walizoziweka; kwa mantiki hii utaona mfumo mzima wa serikali unajiendesha kama organized crime si kwa kuwatumikia wananchi; cha ajabu zaidi ni pale chombo cha kutunga sheria Bunge kinapojiegeuza kuwa kama organized crime; wabunge ndio wanaopaswa kutunga sheria zenye maslahi ya Taifa; je bunge hili linatetea maslahi ya Taifa au ya wabunge binafsi? Mfano hizi posho za laki 2 kwa siku huu ni wizi dhahiri ambao umetengenezwa kwa kutumia sheria; huwezi kupiga vita organied crime wakati wewe mwenyewe umejitungia sheria ili uvunje sheria kwa kupindisha sheria.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
zipo taarifa za kutosha kwamba Mzee mwanakijiji pia ni afisa usalama wa taifa usitubabaishe na uongo ili uonekane huna mahusiano na jamaa hao
 
Ngoja nitawawekea kitu fulani kwenye hii mada - keep checking it... akili zikikaa sawasawa. Labda itawasaidia wengine kuona kile ambacho kiko mbele ya macho yao.
 
I do agree that ol institutions shud be parallel with the rulling group in order that equilibrium is maintained and development is achieved. My opinion is that the fragmentantion of this group has been the source of all evils we witness today as a reflexion of this may be clearly seen in the parallel institutions which have sided with the fragments. It is now the collision of interest of the anatgonistic fragments on one side and the aligned institutions on the other that results into a more complicated matrix and posibly the emergence of OCRs

Unless the GROUP is conscious again (mutually); then the institutions we expect to be watch dogs will remain to be passive and slaves of the fragments. Thus these OCRs will never perish as they serve the interest of these fragments on the expenses of institutions
 
wote kwa pamoja tulie na bunge na wabunge, mle ndani wanaingia watu wa ajabu sana siku hizi, hivi tukiwa na bunge lililo sawa na wabunge waliopo kwa ajili ya waliowatuma, kila kitu kitanyooka, rais atanyooka, mawaziri watanyooka, kwasababu sheria zitatungwa kwa manufaa ya nchi na hizo sheria zitakuwa zinafanya kazi haswa, kule ndiko upitishwa kila kitu, yani uhalifu wote huu unatokana na sheria zisizo na makali nazo wamepitisha hao hao wabunge, mie nalia na bunge tu.
 
zipo taarifa za kutosha kwamba Mzee mwanakijiji pia ni afisa usalama wa taifa usitubabaishe na uongo ili uonekane huna mahusiano na jamaa hao

Achana na occupation yake........uongo wake ni upi na ukweli wako ni upi contrary
 
Back
Top Bottom