Mkuu check hiyo web site ya UCC kuna course hiyo japo kuwa haijwa update kwa muda mrefu kama niliyo ona hapo ni ya 2006 na site.
Vingevyo unaweza kwenda kuulizia LearnIT pale lumumba street juu ya Shoprite au chini ya softech.Wanafundisha course hiyo.
Structure ya fees sijaiona ila kwa haraka haraka haiwezi zidi 400USD.
Kwa kama utashidwa ku download browcher ya Course hiyo nistue ntakutumia.