Weka picha
Mkuu
umejibu vema sana na akifuata ushauri huu
ni rahisi sana.
Mkuu
umejibu vema sana na akifuata ushauri huu
ni rahisi sana.
nimewapeteni wakuu, jf msaada kwa kweli.
Ndugu wana jf kwa yeyote aliye na elimu ya namna ya kujaza fomu za taarifa za mwalimu juu ya utendaji wa kazi ulio wazi serikalini kwani tumeletewa huu mfumo ambapo serkali haijato elimu ya kutosha nini cha kujaza katika hizo fomu.
baba fomu yenyewe ina vipengele vingi na mimi hii thread nimeipost kwa kutumia simu.
watu walitakiwa kupewa semina, badala yake wanahimizwa wafanyakazi wazidi kujaza. Kinachotokea ni kukopi na kupest tu
Kujaza fomu ni sawa na kujibu maswali ya mtihani. Unataka ufundishwe hata kujaza jina lako? Kweli shule za kata balaa...!
hizo fomu baada ya kujaza zitaongeza daraja na mshahara..?