Oprah apigwa chini sana,mwanamama toka Nigeria ndio anaongoza kuwa mwanamke tajiri zaidi duniani

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Mother-of-four, Folorunsho Alakija, 62, started her career as a secretary in a bank then studied fashion and launched a label but her big break was oil. In 1993, her company, Famfa Oil, was awarded an oil prospecting license, which later became OML 127, one of Nigeria's most prolific oil blocks
The company owns a 60 per cent stake in the block, valued at around $7.3 billion, Ventures Africa reports
According to Forbes, Oprah Winfrey is worth $2.9 billion....

1490957_article-2449896-189CDC3400000578-30_306x423_jpg68219dc4b4fc5e987d8845189c8e5ecc
 
sasa mbona hujafdanya comparison kwa kubalance story na kutuwekea ya Oprah? Oprah ana utajiri wa kiasi gani?

NB
Facts & Figures are xtremely important!
 
Inaonekana hata helen bentecourt haumfahamu, kwenye list ya wanawake matajiri duniani wa kumi anamiliki 25 bilion usd. hao uliowataja hawaingii kabisa.
 
Inaonekana hata helen bentecourt haumfahamu, kwenye list ya wanawake matajiri duniani wa kumi anamiliki 25 bilion usd. hao uliowataja hawaingii kabisa.

Umekosea jina lake anaitwa LILIANE BETTENCOURT ana utajiri wa dollar billion 33.2 .

Mimi nazungumzia wana mama matajiri zaidi duniani wenye asili ya kiafrica. Oprah alikuwa anaongoza sasa hivi amepitwa.
 
Good explanation mana alikuwa amekandiaje kwa pupa..hapo mtu ushasikia oprah,folorunsho ts obvious ni african origiin
 
Vipi yule malikia wa wale wadudu wa kalii anashika nafasi ya ngapi?lol!
 
Mkuu naona unajipinga mwenyewe hapo kwenye rangi nyekundu

Umekosea jina lake anaitwa LILIANE BETTENCOURT ana utajiri wa dollar billion 33.2 .

Mimi nazungumzia wana mama matajiri zaidi duniani wenye asili ya kiafrica. Oprah alikuwa anaongoza sasa hivi amepitwa.

kichwa cha habari cha mada umeandika hivi
[h=2]Oprah apigwa chini sana,mwanamama toka Nigeria ndio anaongoza kuwa mwanamke tajiri zaidi duniani[/h]
kwenye heading unazungumzia mwanamke tajiri zaidi duniani hata kwenye post yako ya kwanza hujazungumzia uafrika wa hao wanawake zaidi umezungumzia jinsi zao pekee.
 
Tajiri mungu peke yake..na huu utajiri wa oxygen yake tunauvuta buree bila malipo angetuchaji jata mia mia tu sijui tungetaka kumfananisha na nani.?
Tufanye sala na maombi kwa muumba wetu na vyote vilivyomo duniani.
 
Mkuu naona unajipinga mwenyewe hapo kwenye rangi nyekundu

kichwa cha habari cha mada umeandika hivi
[h=2]Oprah apigwa chini sana,mwanamama toka Nigeria ndio anaongoza kuwa mwanamke tajiri zaidi duniani[/h]
kwenye heading unazungumzia mwanamke tajiri zaidi duniani hata kwenye post yako ya kwanza hujazungumzia uafrika wa hao wanawake zaidi umezungumzia jinsi zao pekee.

nakumbuka oprah aliwahi kutajwa kama si tu mwanamke tajiri bali pia mtu mweusi tajirj zaidi duniani.
 
Back
Top Bottom