Elections 2010 Opposition parties need to come together to defeat CCM ili kumsaidia mtanzania

venividivici

Member
Dec 30, 2006
19
0
Hii Habari hapo chini ni safi sana nimeitoa huko ippmedia.

1) Mimi nina support mapendekezo ya a much more independent Electoral Commission
2) Kuungana upinzani ili kuiondoa CCM kwani inanuka
3) Na kuandika constitution mpya

Haya ndio mambo ambayo Dr. Slaa angeyawekea maanani kwa kushirikiana na ngome ya yote ya upinzani ilikuleta madadiliko ya kweli kwa mtanzania tena yule wa kijinini. Sio kulalama na ku-play a "Victim card". No body becomes a president by winning sympathy from voters but by being a true leader. Dr. Slaa ana ubinafsi na hafai kuwa kiongozi tanzaniania

CCM ina walakini mkubwa na na itahitaji viongozi makini wa upinzani. Sio maneno maneno ya uzushi.

____________________________________
Unite, support single presidential candidate`
By Dominic Nkolimwa

8th November 2010

Some academicians and activists yesterday advised opposition political parties to resolve their differences and unite if they want to be better place to challenge CCM in the 2015 elections.

They told The Guardian in interviews that it was extremely difficult for the opposition parties to defeat the ruling party if they didn’t come together.

Such joints efforts would help push the government to write a new constitution, one of the contentious issues that has been attracting endless and hot debates, inside and outside the parliament.

Prof Abdallah Safari, an independent lawyer, said currently, there were many anomalies, which needed to be rectified, for instance, establishing an independent National Electoral Commission (NEC), saying such important issues required concerted effort.

He said disunity amongst the opposition political parties was an advantage for CCM.
According to Prof Safari it was a dream for the opposition parties to win the country’s presidency without changing the Constitution, which would facilitate an independent electoral body.

“This is possible only if the opposition parties join together and challenge the ruling party,” said Prof Safari.

He urged the opposition camp to desist from dividing Tanzanians along religious, geographical, tribal and racial grounds, as was reflected in the just ended general election campaigns.

“This election was dominated by segregation campaigning which is a threat to national peace and integrity,” said Prof Safari.

He noted that some opposition candidates opposed each others during campaigns, reflecting how difficult it was for the opposition parties to unite.

Tanzania Media Women Association (Tamwa) Executive Director Ananilea Nkya decried the delay in announcing the results, a situation which raised doubts on the part of the public.

She called on the electoral body to design a new system which will ensure early announcing of election results.

Dr Sengondo Mvungi said the system was not friendly to the opposition camp because it did not provide room to challenge the presidential results in court after being announced by NEC.

He said if the law allowed people to reject parliamentary election results in court there was no logic in restraining people from challenging the presidential results.
Mvungi said since the opposition had managed to increase the number of MPs, the impact should be seen when discussing serious matters.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Maneno yako yana ukweli ktk level fulani, lakini yana chuki binafsi dhidi ya dr Slaa, ubinafsi ni wa vyama vyote vya upinzani na si Chadema peke yao. Wabadilike wote.
 
Tena kwa anayo yafanya sasahivi Dr. Slaa atajipotezea umaarufu wake wote aliojijengea wakati wa kampeni, we angalia Lyatonga yupo wapi kwasababu ya kubwabwaja - Watanzania sio wajinga bwana hata kama ni masikini. Mwalimu Nyerere hakufanya kazi ndogo. Nina mweshimu sana Zito Kabwe. Yeye katulia anafanya strategy. Natabiri Zito atakuwa raisi wa Tanzania wa kwanza toka upinzani, ametulia hana pupa
 
I came I saw I Conqured.jpg JeyKeiWaUkweli.jpg Mtu wa Pwani.jpg Burn.jpg Zawadi Ngoda.jpg
 
Lakini ndhani umesahau Mamluki au? CUF wako mekoni, Mbatia yuko mfukoni, Makaidi ndio kabisa umeshaona chama cha siasa wanachama ni mwenyekiti na mkewe. Tuwe serious, CCM wemepandikiza kwenye vyama hivyo kumpata mpinzani wa kweli ipo kazi.
 
Tena kwa anayo yafanya sasahivi Dr. Slaa atajipotezea umaarufu wake wote aliojijengea wakati wa kampeni, we angalia Lyatonga yupo wapi kwasababu ya kubwabwaja - Watanzania sio wajinga bwana hata kama ni masikini. Mwalimu Nyerere hakufanya kazi ndogo. Nina mweshimu sana Zito Kabwe. Yeye katulia anafanya strategy. Natabiri Zito atakuwa raisi wa Tanzania wa kwanza toka upinzani, ametulia hana pupa
mkuu kuna mtu anakusaidia kuwaza au? namheshimu sana Zitto ila kumfananisha Zitto na SLAA kwa sasa ni sawa na kulinganisha usiku na giza......Slaa is in another level brother......
 
Hii Habari hapo chini ni safi sana nimeitoa huko ippmedia.

1) Mimi nina support mapendekezo ya a much more independent Electoral Commission
2) Kuungana upinzani ili kuiondoa CCM kwani inanuka
3) Na kuandika constitution mpya

Haya ndio mambo ambayo Dr. Slaa angeyawekea maanani kwa kushirikiana na ngome ya yote ya upinzani ilikuleta madadiliko ya kweli kwa mtanzania tena yule wa kijinini. Sio kulalama na ku-play a "Victim card". No body becomes a president by winning sympathy from voters but by being a true leader. Dr. Slaa ana ubinafsi na hafai kuwa kiongozi tanzaniania

CCM ina walakini mkubwa na na itahitaji viongozi makini wa upinzani. Sio maneno maneno ya uzushi.

____________________________________
Unite, support single presidential candidate`
By Dominic Nkolimwa

8th November 2010

Some academicians and activists yesterday advised opposition political parties to resolve their differences and unite if they want to be better place to challenge CCM in the 2015 elections.

They told The Guardian in interviews that it was extremely difficult for the opposition parties to defeat the ruling party if they didn't come together.

Such joints efforts would help push the government to write a new constitution, one of the contentious issues that has been attracting endless and hot debates, inside and outside the parliament.

Prof Abdallah Safari, an independent lawyer, said currently, there were many anomalies, which needed to be rectified, for instance, establishing an independent National Electoral Commission (NEC), saying such important issues required concerted effort.

He said disunity amongst the opposition political parties was an advantage for CCM.
According to Prof Safari it was a dream for the opposition parties to win the country's presidency without changing the Constitution, which would facilitate an independent electoral body.

"This is possible only if the opposition parties join together and challenge the ruling party," said Prof Safari.

He urged the opposition camp to desist from dividing Tanzanians along religious, geographical, tribal and racial grounds, as was reflected in the just ended general election campaigns.

"This election was dominated by segregation campaigning which is a threat to national peace and integrity," said Prof Safari.

He noted that some opposition candidates opposed each others during campaigns, reflecting how difficult it was for the opposition parties to unite.

Tanzania Media Women Association (Tamwa) Executive Director Ananilea Nkya decried the delay in announcing the results, a situation which raised doubts on the part of the public.

She called on the electoral body to design a new system which will ensure early announcing of election results.

Dr Sengondo Mvungi said the system was not friendly to the opposition camp because it did not provide room to challenge the presidential results in court after being announced by NEC.

He said if the law allowed people to reject parliamentary election results in court there was no logic in restraining people from challenging the presidential results.
Mvungi said since the opposition had managed to increase the number of MPs, the impact should be seen when discussing serious matters.

SOURCE: THE GUARDIAN

Holly crap
 
Tusikimbilie tu kuwataka wapinzani waunganishe nguvu wakati sera, malengo na mitazamo ya vyama hivi inatofautiana! Pia kama Kama Msafiri. Lazaro alivyosema vyama vingine vya upinzani ni mapandikizi ya CCM, vipo kwaajili ya kuvuruga upinzani. Mimi sioni haja ya upinzani kuungana ila cha msingi ni tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya katiba. Kama CHADEMA wameweza kushusha ushindi wa CCM kutoka zaidi ya 80% mwaka 2005 hadi 61% mwaka huu pamoja na uchakachuaji mkubwa sioni sababu ya CHADEMA kushindwa kama kutakuwa na tume huru inayotenda haki na usawa. Afterall, matokeo halali ni kwa Kikwete alipata 44.56% na Dr Slaa 44.45% hii ina maana kwamba CCM is no more a giant in Tanzanian politics. Halafu, sio sahihi kumfananisha Dr Slaa na Zitto Kabwe, Dr Slaa is by far too good to Zitto! Na wanaofanya hivyo wana malengo ya kuleta migogoro ndani ya CHADEMA.
 
Afterall, matokeo halali ni kwa Kikwete alipata 44.56% na Dr Slaa 44.45%:nono: -Holly crap
 
Mleta maada ana matatizo makubwa na ana chuki binafsi na dr slaa. Kama mdee hakuungana na yeyote na ameshinda kwa kishindo. Mgombea urais.kwa chama chochote kilicho serious kama chadema inawezekana sana. Tunahitaji tume huru basi..hizo propaganda za kuungana ni pandikizi pia.na mashabiki wa huu upuuzi wanataka kutuhamisha kwenye focus ya msingi.utapata nini ukiunga wandwi,mrema lyatonga,mbatia,dovutwa,yule wa chama cha wakulima zanzibar n.k???I don't support this in any way,to hell with their fake advices. Soon we,ll win our nation back...how soon? Just wait
 
Tusikimbilie tu kuwataka wapinzani waunganishe nguvu wakati sera, malengo na mitazamo ya vyama hivi inatofautiana! Pia kama Kama Msafiri. Lazaro alivyosema vyama vingine vya upinzani ni mapandikizi ya CCM, vipo kwaajili ya kuvuruga upinzani. Mimi sioni haja ya upinzani kuungana ila cha msingi ni tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya katiba. Kama CHADEMA wameweza kushusha ushindi wa CCM kutoka zaidi ya 80% mwaka 2005 hadi 61% mwaka huu pamoja na uchakachuaji mkubwa sioni sababu ya CHADEMA kushindwa kama kutakuwa na tume huru inayotenda haki na usawa. Afterall, matokeo halali ni kwa Kikwete alipata 44.56% na Dr Slaa 44.45% hii ina maana kwamba CCM is no more a giant in Tanzanian politics. Halafu, sio sahihi kumfananisha Dr Slaa na Zitto Kabwe, Dr Slaa is by far too good to Zitto! Na wanaofanya hivyo wana malengo ya kuleta migogoro ndani ya CHADEMA.

Junior -

Pointi nzuri uliyosema hapo. Kwahiyo kama vyama vingine ni pandikizi wa CCM then Slaa inabidi awe mtulivu na mwenyekufikiri kwasababu anafahamu mbinu za CCM. Huwezi kumwendea pupa mtu mwenye mbinu chafu na katiba ya nchi ina upenyo anaoweza kuutumia. Ndio maana nasema kwamba kama Slaa haoni hili na badala yake ana sema hovyo tu anajiharibia umaarufu wake alio jijengea kwenye kampeni. Aangalie historia ya akina Lyatonga waliovyojiamini enzi zile wakawa wanasema hovyo. Lyatonga ndio alikuwa Silaha, lakini alijivunjia heshima yake kwa kujitakia umaarufu wa kuzusha, majungu akiburuzwa mahakamani ana gwaya. Siku hizi ana onekana ni kituko tu.
Angalia Freeman kajikimbiza uraisi wakati nchi na chama chake hakipo tayari matokeo yake uchaguzi huu kaleta ukoo wake wote umsaidie apate ubunge. Binafsi sina chuki na Slaa, ila mwenendo wake wa kudai mambo kiuzushi uzushi umemfichua yeye ni mtu wa aina gani na ambavyo anaweza kuipeleka Tanzania pabaya. CCM inanuka sana lakini huwezi kuiondoa na uozo mwingine yeye atakula bila kunawa dangnya toto za kampeni
CHADEMA, kinafanya vizuri kwa kupata wawakilishi bungeni. hii ingekuwa strategy nzuri ili kukipa muda chama na kwavile wapinzani wengine ni weak bado au mitazamo inatofautiana (to your point), kipate muda wa 1) kukubalika na wananchi 2) kipate wawakilishi wengi kukipa nguvu ya kubadili katiba ili katiba iondokane na vikwazo vilivyopo sasa hivi. Nasema kikubalike kwa wanachama kwasababu really CHADEMA, pamoja na wapinzani wengine wote, is getting these parliamentary seats by riding on the wave of wananchi anger to CCM, it is not because wabunge wa upinzani wana sera na determination binafsi ya mabadiliko tofauti na wale wa CCM. Actually, hata viongozi wa upinzani wanagombea uongozi kwa ticket za vyama vya upinzani ili tu kuongeza chance ya kushinda (again taking advantage of the same anger) ukiangalia kwa undani utaona kuwa dhana ya uongozi Tanzania sio kwa ajili ya kusaidia wananchi kwa kuwaleta mabadiliko. Ni kwa ajili ya shida binafsi na kitega uchumi this is true for both wapinzani na chama tawala. "Same same" msemo wa wahidi. The concept of leadership is skewed in Tanzania. This is the "cancer" of leadership iliyopo Tanzania, ni kuziba matumbo.
Vilevile ukitaka kujua tatizo hili la uongozi wa upinzani na CCM na ubinafsi wao, utaona kuwa viongozi wa upinzani hata within their own parties cannot speak with one voice, wanapigana vijembe, hakuna tofauti na CCM kambi ya Lowassa sijui ya Mwandosya vilevile kuna kambi za ukoo (CHADEMA kuna vyeo hawezi kushika mwingine ila ukoo fulani) na makabila. Kupigana ngumi ruzuku ikitoka tabu tupu. They cannot even agree on issues just like CCM
Matatizo yote haya kwenye vyama hayamsaidii kabisa mkulima kule Bupandagila, matatizo yake yeye sio congestion ya magari, yeye anataka huduma muhimu pembejeo, shule kwa watoto, matibabu hana hata baisikeli.
Kwahiyo kinachohitajika Tanzania ni viongozi wa kweli, wasio walafi kama CCM, lakini hatuwezi kumtoa mlafi na kumuweka mlafi. Na ili kumtoa mlafi huyu inabidi kutumia akili na kupanga mikakati jinsi ya kutatua matatizo yaliyo kubuhu. Sio kwa kuwa king'anganizi. Siipendi CCM lakini upinzani hauaminiki.
 
1. Slaa inabidi awe mtulivu na mwenyekufikiri

2. Nasema kikubalike kwa wanachama kwasababu really CHADEMA, pamoja na wapinzani wengine wote, is getting these parliamentary seats by riding on the wave of wananchi anger to CCM, it is not because wabunge wa upinzani wana sera na determination binafsi ya mabadiliko tofauti na wale wa CCM.

3. .....vilevile kuna kambi za ukoo (CHADEMA kuna vyeo hawezi kushika mwingine ila ukoo fulani) na makabila. Kupigana ngumi ruzuku ikitoka tabu tupu. They cannot even agree on issues just like CCM.

1. Ni utovu wa nidhamu kusema Dr. Slaa si mweye kufikiri.

2. Kama wapinzani wangekuwa na sera sawa na CCM basi hizo ilani hazina maana au niseme hakuna haja ya kuwa na upinzani. Tatizo la kujifanya mjuaji wa kila kitu ni kudharaulika na kila mtu.

3. Wanaosema unachuki binafsi na Chadema na uongozi wao wako sahihi. Unaposema ukabila, najua una maanisha Wachaga. Lakini kuwa mwangalifu sana na uwe unatafakari kabla ya kutoa hoja. Chadema ya leo ina wabunge zaidi ya 20 (ukiondoa mliowadhulmu). Unaweza kuueleza umma wa JF na Watanzania wengine, katika hao wabunge, wangapi wamechaguliwa kwa kigezo cha ukabila?

Wewe una chuki binafsi na Wachaga. Kwa sababu viumbe hawa (Wachaga) wamekuwa wakaidi kwa CCM. CCM imefanya wema na uovu katika mkoa wa Kilimanjaro katika harakati za walichokiita "kurejesha majimbo CCM", lakini Wachaga wamegoma.

Kila jambo lina role model wake. Kwa Wana-mageuzi, hasa Chadema, role models wetu ni Wachaga.....wana maendeleo: elimu, barabara, umeme, maji, yet hawaitaki CCM.

Singida, Lindi, Pwani, Mtwara, Tabora, Morogoro mmmh.

Conclusion:

Hoja yako ni ya kipuuzi. Chadema kinaweza kusimama peke yake na tutaendelea kukiunga mkono kudhihirisha hilo. Tena kwa mtindo wa replication.

Ninajua ni njaa tu inakufanya uone CCM ina aminika.
 
Maneno yako yana ukweli ktk level fulani, lakini yana chuki binafsi dhidi ya dr Slaa, ubinafsi ni wa vyama vyote vya upinzani na si Chadema peke yao. Wabadilike wote.

Moto YaMbongo uko sawa vyama vyote vinaubinafsi na sio Chedema tu, si unajua wote wanataka ruzuku? halafu CCM soi wajinga vingine viko karibu nao ili dhana ya muungano wa upizani usifanikiwe kamwe. Ila wangeweza kuungana kama ilivyotokea Kenya basi CCM ingekuwa chama cha upinzani wakati huu.
 
Mimi sio mchagga na nipo CHADEMA na ndani ya chama sioni huo ukabila amba watu wa nje wanauona. Chama chetu sio cha ukoo ila CCM ndio ya kifamilia angalia katika kampeni kinana alikuwa kama boya kila kitu kiliendeshwa na familia ya JK, ni kweli mageuzi yalianzia Kilimanjaro kwa hilo nawaheshimu sana ndugu zangu Wachagga na bado nipo tayari kuongozwa na Rais mchagga. Kwani mchagga sio mtanzania? pambaaaf tuwe na akili acheni maneno ya kukurupuka.... alaaaaah
 
Back
Top Bottom