Oppo Reno 5 wadau mna mtazamo gani juu ya hii simu.

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Wataalamu wa technologia kuna simu inaitwa Oppo Reno 5 ninetokea kuipenda sana japo.sijawahi kutumia simu za aina ya Oppo.

Kwa muda huu natumia Samsung galaxy a50 lengo langu nataka nipate simu itakayokuwa bora zaidi ya hii nnayo itumia ndio nikatokea kuiona hiyo Oppo.

Naombeni mnisaidia jee mnaionaje? Inaweza ikapambana au kuizidi samsung galaxy a80? Please naombeni msaada tafadhali.
 
Wataalamu wa technologia kuna simu inaitwa Oppo Reno 5 ninetokea kuipenda sana japo.sijawahi kutumia simu za aina ya Oppo. Kwa muda huu natumia Samsung galaxy a50 lengo langu nataka nipate simu itakayokuwa bora zaidi ya hii nnayo itumia ndio nikatokea kuiona hiyo Oppo. Naombeni mnisaidia jee mnaionaje? Inaweza ikapambana au kuizidi samsung galaxy a80? Please naombeni msaada tafadhali.
Chief-Mkwawa tafadhali njoo utoe msaada wa kitaalamu huku kwa mdau
 
Hii simu tulishawahi kuizungumzia humu, ina midrange soc na flagship price, kwa muono wangu ipo overpriced unless unaipata kwa bei reasonable, chini ya 1m.

At same Price kwa BBK bora ununue oneplus 8.
 
Wataalamu wa technologia kuna simu inaitwa Oppo Reno 5 ninetokea kuipenda sana japo.sijawahi kutumia simu za aina ya Oppo.

Kwa muda huu natumia Samsung galaxy a50 lengo langu nataka nipate simu itakayokuwa bora zaidi ya hii nnayo itumia ndio nikatokea kuiona hiyo Oppo.

Naombeni mnisaidia jee mnaionaje? Inaweza ikapambana au kuizidi samsung galaxy a80? Please naombeni msaada tafadhali.
Achana na simu za Oppo zina bei kubwa sana. Ila ni premium quality kama hela kwako sio ya mawazo
 
Niletee simu ya Oppo yenye kulingana na hizo Samsung kwa specifications na uje na bei ya kibongo
Nikuletee wapi? Tatizo unalo wewe la kutotaka kukubali kwamba A series ni simu za hovyo. Yaani hadi unataka kulia😂😂
 
Back
Top Bottom