OPPO R11s

Salih

JF-Expert Member
Jan 31, 2013
619
401
Msaada kwa wenye utaalamu wa kufanye setting za simu, nina simu OPPO R11s nimeichukua kama wiki1 hivi iliyopita ila baada ya kutumia upande wa Camera nikagundua kuwa haina uwezo wa kuondoa Shutter sound(mlio wa camera wakati wa kupiga picha), yaani sioni kipengere chochote cha turn on or off camera sound, kama kuna mwenye utaalamu wa simu hii anielekeze cha kufanya. Natanguliza shukrani
 

Attachments

  • Screenshot_2019-03-21-11-14-44-99.png
    Screenshot_2019-03-21-11-14-44-99.png
    29.4 KB · Views: 24
It
Aisee huenda labda ikawa copy ingawa nimejaribu kui goggle mpk model number na ipo Certified naiona kabisa ni yenyewe labda kama kuna njia nyingine ya kujua copy na og
Mkuu fanya kitu kimoja nenda about phone tuma model yake then ingia playstore weka application hii CPU - Z Baada ya apo angalia specification km zinaendana na about phone ..maana mm nina oppo a3s ila mie ninaweza kuondoa sound shouter
Screenshot_2019-03-21-22-37-01-23.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ItMkuu fanya kitu kimoja nenda about phone tuma model yake then ingia playstore weka application hii CPU - Z Baada ya apo angalia specification km zinaendana na about phone ..maana mm nina oppo a3s ila mie ninaweza kuondoa sound shouterView attachment 1050762

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimejaribu kuoanisha naona kama zinafanana tu kama ilivyo hapo chini
 

Attachments

  • Screenshot_2019-03-22-08-02-34-15.png
    Screenshot_2019-03-22-08-02-34-15.png
    53 KB · Views: 21
  • Screenshot_2019-03-22-08-02-59-76.png
    Screenshot_2019-03-22-08-02-59-76.png
    50 KB · Views: 21
Back
Top Bottom