Oppo A31 64GB 4GB vs infinix note 10 128 GB 6GB

400,000/=
Hio oppo A31 Ina Helio p35 sawa na Samsung A12, ambayo unaipata around laki 3. Why ununue Mchina BEI ghali?

Rule ya kwanza kununua simu ya kichina angalau ikupe mambo mengi kuliko brands kubwa at same price point. Inapotokea Mchina anauza ghali zaidi achana nayo unapigwa.

Kwa hio budget Tafuta Xiaomi redmi note 10, kama huwezi ipata subiria samsung Galaxy A22 soon inaingia sokoni. Utapata display nzuri amoled 90hz refresh, battery kubwa, processor yenye nguvu etc.
 
Nimekusoma mkuu
 
Nilimnunulia dada yangu flani hivi INFINIX SPARK 5 baada ya mwezi tena nilienda kununua simu ya OPPO A15.

Huwezi amini nilikaa nayo OPPO A15 siku 1 tu nikawa nauza ile simu ya INFINIX SPARK 5 ya Dada hata kwa hasara ya 180, 000/= ili niongezee pesa nimnunulie Dada yangu simu ya OPPO A15
sad story mteja akawa wa kurenga
 
Nilimnunulia dada yangu flani hivi INFINIX SPARK 5 baada ya mwezi tena nilienda kununua simu ya OPPO A15.

Huwezi amini nilikaa nayo OPPO A15 siku 1 tu nikawa nauza ile simu ya INFINIX SPARK 5 ya Dada hata kwa hasara ya 180, 000/= ili niongezee pesa nimnunulie Dada yangu simu ya OPPO A15
Hakuna infinix spark 5 usidanganye watu,labda useme ilikuwa tecno spark 5

Infinix ziko vzr mno hasa za sasa ivi yaan zinapiga kazi si kitoto,kikubwa tu iwe na ram ya kutosha na storage ya kutosha,,mi nina infinix s4 toka 2019 hadi now iko na ubora ule ule haijawahi chuja!!
 
Mi nawashangaa hao wanaobeza hizi simu INFINIX, kuna infinix hapa INFINIX HOT 10 PLAY, inapga kazi vizuri tu, hakuna kustuck wala nini, chaji siku tatu data On! Mi naona hiz simu zipo vizuri sana kushinda hata hizo fragship zinazosifiwa, tena kama hizo SAMSUNG A series ndo majanga kabsa! Mara zinapoteza mtandao, mara ukiupdate ndo inaanza kuzingua, mara ina stuck! Kama haupitii users review wa hayo ma fragship mitandaon hauwez kujua kama zinamajanga!
 
Hakuna infinix spark 5 usidanganye watu,labda useme ilikuwa tecno spark 5

Infinix ziko vzr mno hasa za sasa ivi yaan zinapiga kazi si kitoto,kikubwa tu iwe na ram ya kutosha na storage ya kutosha,,mi nina infinix s4 toka 2019 hadi now iko na ubora ule ule haijawahi chuja!!

Infinix?? Yaani mi niko radhi nitumie hata samsung/Motorola za kizamani kuliko hizo infinix! Au kama vipi bora kununua tu tecno ijulikane moja aisee 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🤣
 
Back
Top Bottom