Hivi Kawambwa na Ngeleja yupi mbovu zaidi?
wasira ametajwa sana kua anajali chama na uwaziri,hawajibiki kwa taifa...membe sijamnyaka vizuri mkuu tujuze madudu yakeYaani kuna watu wana bahati! Wasira hatajwi, Membe hatajwi, si mnkumbuka mikutano ya leonsulivan nakumbuka lugha gongan
Kingmairo naungana na wewe;Mh Mkulo ni waziri wa ajabu kuliko mawaziri wote duniani; ni nchi ya Tanzania pekee ambayo sheria ya kodi inawabagua watumishi wa umma na wale wa sekta binafsi kwa kuwatoza kodi kubwa wale wa sekta binafsi na kuwasaheme baadhi ya kodi wale wa sekta ya umma. Nchi nyingi dunia zinaamini ukuaji wa uchumi hutegemea sekta binafsi lakini Mkulo sidhani kama hata anafahamu hiyo mishahara anayowalipa wafanyakazi wa umma bila kutoza kodi kuwa kodi toka sekta binafsiWaziri mbovu kuliko wote ni mkulo! Kwanza hakubali kwamba hali ya uchumi wa tanzania ni mbaya, ye anaona uchumi upo tambarate tu. Kwa iyo hawezi kufanya jitihada yoyote maana haoni tatizo. Kiufupi intellectually ni mmbovu sana hadi kiutendaji. Check hata bungeni anavyostruggle kujibu hata hoja nyepesi.