Opinion;Bodi ya mikopo vyuo vikuu ifutwe

Kapo Jr

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
996
280
Wana jf hii bodi imekua chanzo cha chuki baina ya watanzania,kabla ya kuundwa walisoma bila masharti na vikwazo kama vyao,my take bodi imeshindwa,haina kazi ni ulaji wa wachache.Nawasilisha
 
Imekua bodi ya wachache na c werevu,inaongeza kushuka taaluma nchini
 
Au iseme tu kuwa wanakopesha hela ya kula pekee ya ada kila mtu ajitegemeeee!!!!!

PJN @ lipwidi, Mtwara
 
Wana jf hii bodi imekua chanzo cha chuki baina ya watanzania,kabla ya kuundwa walisoma bila masharti na vikwazo kama vyao,my take bodi imeshindwa,haina kazi ni ulaji wa wachache.Nawasilisha

What is your alternative?
 
Kila nikitafakari sioni umuhimu wa hi bodi,tufanyeje kunusuru janga hili wakuu,mkono simuelewi utendaji wake
 
Wote waliosoma shule Za kata, vjijini(aayansi huko hamna walimu wala laboratory) bodi ya mikopo haqana lao.....
 
sifutwe
ila wapewe watu ambao ni wazarendo,maana pale bodi kuna watu hawashauriki,wanafanya kazi kwa mazoea,hawana huruma na wazazi wetu,ndhani Mh Rais anahitaji kuiangalia bodi kwa jicho la 3,kwani wafanya kazi wake wanawatumia wanafunzi kama mtaji,majina hewa kibao,wanacheza na herufi tu,kwa mtindo huu hatuwezi kufika

lakini sielewi kamati za bunge hazilioni swala hili? majina hewa.mikopo kutofika kwa wakati,wenye uwezo kupewa mikopo na wasio na uwezo kunyimwa mikopo,OLAS kuto kufanya kazi ipasavyo

kiukweli kuna matatizo chungu mzima ili yatatuliwe kunahitaji wafanyakazi wote kuondoshwa kwani kuanza upya si ujinga
 
tambua watu ndo bodi hivyo kuvunjwa inaweza saidia kuondoa matabaka
 
Ikifutwa vyuo vikuu vya taasisi za kidini vitaadhirika,

Vimejengwa kama uyoga baada ya uhakika wa ada.
 
bodi ya mikopo haiwezi kusomesha wanafunzi wote tanzania.lazima tuchague baadhi wenye uwezo ambao watadhaminiwa na bodi na baadae wabanwe kuleta maendeleo.
 
Back
Top Bottom