Wana jf hii bodi imekua chanzo cha chuki baina ya watanzania,kabla ya kuundwa walisoma bila masharti na vikwazo kama vyao,my take bodi imeshindwa,haina kazi ni ulaji wa wachache.Nawasilisha
Naunga mkono, ifutwe!!!!!
Mkuu umetumwa?
Mbona umekuwa mkali sana?
What is your alternative?
sifutwe
ila wapewe watu ambao ni wazarendo,maana pale bodi kuna watu hawashauriki,wanafanya kazi kwa mazoea,hawana huruma na wazazi wetu,ndhani Mh Rais anahitaji kuiangalia bodi kwa jicho la 3,kwani wafanya kazi wake wanawatumia wanafunzi kama mtaji,majina hewa kibao,wanacheza na herufi tu,kwa mtindo huu hatuwezi kufika
lakini sielewi kamati za bunge hazilioni swala hili? majina hewa.mikopo kutofika kwa wakati,wenye uwezo kupewa mikopo na wasio na uwezo kunyimwa mikopo,OLAS kuto kufanya kazi ipasavyo
kiukweli kuna matatizo chungu mzima ili yatatuliwe kunahitaji wafanyakazi wote kuondoshwa kwani kuanza upya si ujinga
Dont blame the system,blame wazazi wako..
Ikifutwa vyuo vikuu vya taasisi za kidini vitaadhirika,
Vimejengwa kama uyoga baada ya uhakika wa ada.