operesheni ya mdomo...

matumbo

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
7,225
3,944
kuna jamaa mmoja alipata ajari ya gari kwa bahati mbaya akachanika mdomo,ikabidi akimbizwe hospitali..kufika chumba cha upasuaji akakuta daktari anamalizia kumtahiri mtu mwingine,alipomaliza kumtahiri yule mtu akaamuru yule mgonjwa aingizwe ndan..basi akamfanyia pale opereshen akamshona ule mdomo ila kuna nyama zilikuwa zimepelea lips ya juu,kutafutatafuta vipande vya kujazilizia sio ndio akaona yale mabaki ya govi ya yule mtu aliyetoka,akayachukua akayayashonea pale mdomon opereshen ikawa imeisha vizuri..baada ya kukaa ndani miezi kadhaa akapona kabisa..siku moja katika pitapita zake akakutana na mademu wakali kinoma basi alipokuwa anasimamisha uku chini na mdomo nao ukawa unadinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom