Operesheni vua gwanda,vua gamba vaa uzalendo ya nape imeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Operesheni vua gwanda,vua gamba vaa uzalendo ya nape imeishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Seif al Islam, Sep 10, 2012.

 1. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Ni utaratibu wa ccm hii ya sasa kuiga kila kitu kinachofanywa na wapinzani hususani cdm katika mambo mbalimbali ya kisiasa hasa hili la kufanya mikutano na maandamano huko mikoani.nape nnauye u labda ccm yenyewe nae/nayo aliiga mpango wa cdm kufanya oparesheni huko mikoani kwa lengo la kuwafikia watu na kuwaelezea mambo mbali mbali.nape alianzia huko kanda ya ziwa kabla ya kutulia ghafla.kisha tukawasikia na akina magufuli jangwani wakipiga porojo za miaka ya sabini.kwa sasa oparesheni ile imekufa kifo cha mende coz haijulikani ipo wapi na ratiba ikoje au ndo ilikuwa tuu kufuta nyayo za cdm waliofunika jangwani?kwa wanaofahamu imefikia wapi watupe updates na ratiba kama ipo.
   
 2. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Sasa inaendeshwa na polisi.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... imeishia Nyololo.
   
 4. m

  maramojatu Senior Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hana support kwenye chama chake unategemea nini? anatoa mapovu tu sasa
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Sasa Anazunguka Nchini anapata watu wa VIPIKIPIKI; akiongea na Wananchi ni 10 au 50 utasema nini? Msamaha wa kodi za karanga,

  nyanya na vitunguu... Hapati watu wa kujiunga na CCM kama sio kuwahonga... Ni Bora ajikalie Ofisini achungulie JANGWANI

  aangalie MIKUTANO ya CUF
   
 6. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ipo inaendelea kama kawa,isipokuwa imebadirishwa jina ssa iv ni VUA UHAI VAA UMAUTI
   
Loading...