Operesheni Sangara yaingia Lushoto; kwa Makamba

- Mkulu GS, please! vipi tena mbona huwa unaleta vitu vya uhakika sana what is this? Okay by the time Dr. Slaa amemaliza kumshugulikia Mkamba taifa litakuwa limenufaika na nini huko Lushoto? Wananchi wa Lushoto watanufaika na nini hasa na hii siku moja Dr. Slaa atakayomshugulikia Makamba?

- I mean hizi siasa za majina ya viongozi mtajifunza lini kuachana nazo? After all the Zittos na Wangwe, bado tu mna hizi za majina ya viongozi? Inasikitisha sana, halafu hii ni breaking news! Kuweni na haurma kidogo na taifa wakuu! huu sio wakati wa nani zaidi kati ya Dr. Slaa na Makamba, huu ni wakati wa kuwaelimisha wananchi kuhusu viongozi wanaofaa na wasiofaaa kwa 2010.

Respect.

FMEs!

Chukua kwanza tano na pia hongera kwa kunitoa msituni . Nilikuwa nimejificha nachungulia kwa mbali .Umesema mengi poa ila siasa za majina hizi hazitakufa maana ndiyo siasa zenyewe . Ila sasa wenye majina hao ndiyo waje wachukue mawazo na ushauri wetu waongezee kulileta Taifa maendeleo. Pongezi ni kwamba Slaa na genge lake watatoa Elimu ya Uraia huko kuelekea uchaguzi mkuu hili hutalipinga na hapo sasa Taifa litakuwa limepiga hatua moja watu kujua nini ni haki yao na hasa katika chaguzi zozote pia kujua kwamba CCM inawavunga hili halisemwi na CCM wenyewe . Au unasemaje ?
 
- Mkulu GS, please! vipi tena mbona huwa unaleta vitu vya uhakika sana what is this? Okay by the time Dr. Slaa amemaliza kumshugulikia Mkamba taifa litakuwa limenufaika na nini huko Lushoto? Wananchi wa Lushoto watanufaika na nini hasa na hii siku moja Dr. Slaa atakayomshugulikia Makamba?

- I mean hizi siasa za majina ya viongozi mtajifunza lini kuachana nazo? After all the Zittos na Wangwe, bado tu mna hizi za majina ya viongozi? Inasikitisha sana, halafu hii ni breaking news! Kuweni na haurma kidogo na taifa wakuu! huu sio wakati wa nani zaidi kati ya Dr. Slaa na Makamba, huu ni wakati wa kuwaelimisha wananchi kuhusu viongozi wanaofaa na wasiofaaa kwa 2010.

Respect.

FMEs!

FMES
Kwanza nashukuru kwa kutambua kuwa huwa naleta vitu vya uhakika ila hata habari hii ni ya uhakika,pili ni ukweli kwamba Slaa alikuwa kijijini kwa Makamba na amemshugulikia ipasavyo.Amezungumziia ishu ya Makamba kuwavaa kina Dk Salim,Warioba na Butiku ambao kimsingi walikuwa wanajdili mambo ya kweli na ya msingi ya taifa hili ambayo hata hao wakazi wa Lushoto ni wahanga.
tatu ndugu yangu siasa ndio ilivyo,siasa is about people and individuals kwahiyo kuna wakati huwa individuals wanapambanishwa na ndio maana huwa kuna tuzo mbalimbali za viongozi kama vile za noble na Ibrahimu MO n.k.Hizi zote zinalenga kwa individuals na soi taasisi. I was happy nilivyosikia kwamba Dk Slaa atakuwa huko coz hawa wote ni public figures na maneno yao huwa yaninfluence mambo kadhaa hapa nchini.Pole sana kama umekwazika you just stay asid fro this thread and contiue with othre threads and discussions.
 
icon1.gif
Re: Breaking News:Dk Slaa kumvaa Makamba Leo

- Ahsante sana mkuu, nimekusikia na nitakaa pembeni na hii thread.

Respect.

FMEs!
 
TUnataka viongozi waliokamilika kichwani kwa ajili ya maendeleo yetu. Mkikaa na mropokaji Makamba mtapiga hatua za maendeleo ya umbeya na mipasho tu.

Naamini kwamba CHADEMA ni chama makini.
mimi ni ccm ila chama huiki si mama yangu wala baba yangu. anytime naweza kujitoa na kubaki bila chama ili nifurahie uhuru wangu kikamilifu
 
Slaa na Chadema asijisumbue Tanga, Nichama cha kichaga na kanisa hivyo ndo kinavyoeleweka, Mbowe amejaribu kupiga masambasort na dege lake lakini hakuna mtu alie mjali. Huko Tanga ni CCM na CUF, Chadema ni ukabila na udini.
I am worried kwa kuwa hakuna chama kisicho na hizo sifa. Nitapenda kuwa muwazi kabisa kwamba CCM hivi sasa ni ya waislamu, tangu aingie huyu mkulu, naona karibu kila idara wamekuwa wao. Angalia wabunge wa viti maalumu (ingia kwenye mtandao wa bunge utaona), angalia hata sehemu kubwa ya viongozi wa nchi utagundua kabisa kwamba CCM ina udini kwa kiasi kikubwa sana. CUF ndo usiseme, ipo clear kabisa kwamba ni chama cha Waislamu zaidi kuliko wakritu hata misimamo yao imeegemea huko. sasa ukisema CHADEMA ina ukabila na udini, sijui! sikupati vizuri, manake hiyo ni tabia ya vyama vyote. Bora hata ungesema NCCR mageuzi, to me kile ndo chama pekee kisicho na mawaa.
 
siasa haihitaji uchawi...
siasa za bongo ni uchawi mwanzo mwisho..
ukibisha kaulize kinachofanyikaga pale mjengoni Dodoma.
Mzee wa vijisenti hayuko peke yake..
kuna vigagula kibao kwny dimba letu la siasa.
na ukiwa mweupe (Huna zindiko) wanakung'oa kwa kukufanya kafara ya damu
 
Operesheni hii haitafika kwa Makamba peke yake.Nimeambiwa kwamba wiki ijayo jumanne itakuwa Same zote mbili.Kwahiyo Kilango na wenzake wajiandae

Na Mzee Ndesamburo ataungana nao huko same. Mama Kilango aangalie sio kila mahali anapotumwa ye aenda tu!
 
Mimi binafsi sifikirii kabisa kuwa Slaa atakuwa na mvuto au cha kuwaambia watu walio makini sio pekee Tanga bali popote pale. Nyimbo zake za EPA, Ufisadi zote zimezimwa sasa sifikirii kama atakuwa na la ziada katika kuwaeleza watu.

Ukiangalia Uwezo wa Slaa na Udaktari wake unaotambulika na kanisa tu Sijui kama atakuwa na uwezo wa kuwakithi ndugu zangu wasambaa ambao wanakuwa na Hoja nzito na kiswahili kingi. Labda angepita kupitia mlango wa mtandao wa Kanisa katoliki kupitia kwenye jumuiya zao za mitaani.

Hakika kwa mtazamo wangu Slaa kwa anaefuatilia vizuri uongozi wake na Ilmu yake utaona wazi ni mwiba na sumu mbaya sana kwa maendeleo ya CHADEMA.

naomba CHADEMA mjue kuwa Lisemwalo lipo na kama halipo Laja.
 
Mkulima
Kweli wewe mkulima hasa,tena yule wa kizamani.Hebu fuatilia vizuri takwimu za chaguzi za serikali za mitaa mwaka huu utagundua kuwa CHADEMA imepanda kwa kiwango kikubwa.Unavyosema kwamba ulitegemea CHADEMA wawe na asilimia kubwa sijui unamaanisha nini.Asilimia kubwa ni ngapi?na je ulitaka CHADEMA iongoze kuishinda CCM? please be precise and specific usikurupuke.
Ndugu yangu usipende kufanya assumption katika mambo ya siasa,siasa sio physics or mathematics useme kwamba let X= 5.Siasa inafanywa field.Hakuna chama chenye uhakika wa unbunge kwa hali iliyoko sas ahivi na ndio maana kila chama ama mgombea ni lazima wafanye kazi ya ziada ili vishinde ama washinde.Hata Sitta mwenyewe hajiamini jimboni kwake.

GS,

Kama una data tumwagie hapi; data nilizo nazo mimi ni kwamba CCM kwa nchi nzima imeshinda kwa asilimia 92 na ni zaidi ya mwaka 2004.

Je huko kanda ya Ziwa CHADEMA wamechukua asilimia ngapi?

Kama kule kwa Lowassa utasema CCM hawana uhakika na jimbo wakati wameshinda serikali za mitaa kwa asilimia 100? Labda Lowassa ahamie upinzani. Kuna mambo wala hata huhitaji kuwa rocket scientist kuweza kuyabaini.

Huko Tanga kwa wazee wa kaya, itakuwa ngumu sana CHADEMA kuchukua jimbo. Hivyo ni viwanja vya CCM na CUF.
 
Sioni kama Slaa atakuwa na jipya la kuwaeleza wana Tanga.

Bro,
Don't assume!
Hiyo kata ya Tamota pamoja na vijiji vya jirani vikiwemo Mahezangulu (kijijini kwa Makamba), Galambo, Shembekeza, Kisiwani, Baga, Mpalalu, Funta, Mahange na Tekwa ni vijiji ambavyo vina upinzani sana. Vina wanachama wengi sana wa upinzani, hasa wa CUF. Nakumbuka mwaka 2004 katika uchaguzi wa serikali za mitaa, viongozi wengi wa upinzani walichaguliwa kutoka katika maeneo haya.
 
Maswali mengine bwana!! Watu huwa hawaishirikishi brain yao kabla ya kuuliza. Swali gani hili liamekaa Kimakamba-makamba?

sasa kaka swali kama hilo linahusikaje na brain? brain kazi yake ni kuexecute inputs sasa mtu anataka kujua uwepo wa mtu then aftr tht ndo atashirikisha ubongo wake....

seems wako umehama, pole!
 
we nawe gendersinsitive na wasiwasi nawe, kama haupo huko kwenye sangara? unajidai eti uko likizo wapi? taarifa zote eti unazipata, khaa...hivi slaa ndo nani kwani? mbona wanafanana na makamba kwa ubwatukaji. aende tu kwani makamba ye ni mbunge wa kuteuliwa, na nikatibu mkuu haina wasiwasi.nyi jigongeni, jikanyageni CCM tutaendelea kung'ara till infinite. CCM ina watu bwana na watu wenyewe ndom sisi tumejaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom